Huyu Mzee Mstaafu askari wa IDF Anachozungumza Ndicho IDF Imefanya Gaza

Tena wabeba mimba ndio wakuanza nao. Maana mwanaume mmoja anaweza kuzaa hata na wanawake 1000.
 
Kwa hiyo tufanyaje sasa?

Tuandamane au?
 
Wewe ni mbumbumbu na mvivu wa kusoma, na wapumbavu kama wewe ni kuwaacha mpate lesson kwa vitendo; kwamba huko Gaza, Lebanon, Yemen hao islamists wako waabudu kaallah watapigwa na hako allah hakawasaidia viongozi wao watapukutishwa mmoja baada ya mwingine.hatimaye the head of the octopus the Ayatollah Ali Khamenei naye atapelehwa kwa mabikira 72.
Yaani wewe unajifanya hukusoma kuwa Sinwar alikuwa anaomba israel kumspare uhai wake? Haujui kuwa alipokutwa ndiyo alikuwa njiani atorokee Egypt kwa msaada wa some Army official wa Egypt? Wajifanya hujui kuwa alikuwa na fake passport ya kutorokea, akiwa na a lot of dollas. Sasa nikwambie kuwa wewe muislam wa mchongo wenzio Sunni wa Middle East huko Saudia, UAE na kuingine wanampigia video call Netanyahu kumshukuru. Ona hapa chini

View: https://x.com/AzatAlsalim/status/1847395554453536901Na huko Gaza baadhi ya watu wanamshukuru waziwazi Netanyahu

View: https://x.com/MahyarTousi/status/1847205926123507734
View: https://x.com/Osint613/status/1847055502351782132
 
Angalau mumeanza kuwaelewa hawa watu rafiki kabisa ya walokole, wamebadili vitabu vyenu na vyao muwaone wa maana ila ipo siku watu wote watawajua
 
Vipi na hao waarabu wanaotaka kuifuta Israel kwèñye uso wa Dunia
Wewe ukisikia Mtu anataka kukufuta wewe na kizazi chako utafanyaje kama sio kuanza kuwafuta waΓ΄?
 
Onesha kambi moja tu ya Hamas ( military camp) kudhibitisha kua Hamas hawatumii wanawake na watoto Kama human shields na makazi ya raia kama shule na hospital Kama military camp zao onesha Moja tuuuu

nikuoneshe kuku mwenye mguu mmoja Niko pale uniite nani vile hahaha
 
Kwani mkuu, Israel ilikuwa wapi kabla ya WW2?
Kama wao walitoka huko waliko hawana ardhi wakafika pale wamekaribishwa...

Kwanini wasiruhusu wenzao wawe na taifa linalotambulika? Si uonevu huo?
"The days are coming,’ declares the Lord, β€˜when I will bring my people Israel and Judah back from captivity[a] and restore them to the land I gave their ancestors to possess,’ says the Lord.”

 

NDO ULIVYODANGANYWA NA SHEIKH KITINKU?
HAYA NENDA KACHUKUE BIKRA 72
 
Maneno mengi tumeshaongea sana humu ugomvi wote huu chanzo kikuu ni oct 7

Nenda kawasaidie ndg zako acha kupiga porojo nyingi hapa hazitasaidia lolote . Tutaendelea kuwamaliza magaidi wote kadri iwezekanavyo
 
Yani hapo ndio mwisho wa akili yako!! Unafikiri kujificha kwa kiongozi wa Hamas Sinwar ni sawa na kujificha kwa wanamgambo wa level ya chini wa Hamasi? Hapo wanaozungumziwa human shield ni wanamgambo wa level ya chini au kati ambao ni wengi. Ukishakuwa kiongozi wa juu kama Sinwar hawezi kujificha kwenye kundi la raia vinginevyo iwe imetokea amezidiwa kwenye mapigano then ajichanganye kwa raia.

Hicho kinachosemwa wanamgambo wa Hamasi kujificha kwa raia ni kitu sahihi tu, na wala si ajabu kwa mwanajeshi au mgambo ambae amezidiwa kwenye uwanja wa vita na ndio maana adui anapogundua hilo anawapelekea tu moto bila kujali kwenye kundi kuna raia au la.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Kama Israeli imeundwa mwaka 1948 na Palestina ilikuwepo,sasa Israeli wawapeje utaifa tena waliokuwa nao tayari?Kwani ni nani aliwapoka Palestina utaifa wao hadi waudai tena?
Sasa wewe unaongea kuwa taifa la Israel kimeundwa 1948 kwa mujibu wa UN lakini tambua kabla ya UN taifa hilo la kitambo kama wewe ni msomi soma taifa la rumi ndiyo utayafuta hayo mawazo ya waalimu wa madarasa na tangu kuumbwa kwa ulimwengu hapajakuwepo taifa wa nchi ya wapalestina kwa taarifa yako mrumi baada ya kumshinda Israel kwa kuwa ndilo taifa lilikuwa tishio kwa warumi baada ya kumshinda wayahudi wengi wala tawanyika ulimwenguni kote wengi walikimbilia Eritrea na Ethiopia american na Maida ya ulaya ndipo mrumi kawakaribisha jamii ya kiarabu kwakuwa wayahudi walibakia wachache baadaye wakaongezeka wakaanza kupewa nguvu na wale waliotanyika kwakuwa huko kote walikoenda wayahudi walienda kuwa matajiri hivyo wanarudi na bado hawajarudi wote na kibiblia sharti warudi wote kwa hiyo wenyekudhani wapalestina wasipokubali kuishi na wayahudi kwa amani hakuna jiwe litasalia na huyo waajemi wamejiwekea jiko la mkaa kichwani huo mzozo ukiingilia kwa hao wayahudi lazima upate anguko saidia siyo wajinga wanajua bora wasiingiliye
 
Sidhani kama unaelewa hata nilichokieleza hapo na msimamo wangu.Uwe unanisoma vema.Asante.
 
Unatafuta huruma na afua ya vipigo kutoka kwa mazayuni?Ulipaswa uwashauri walioanzisha uchokozi wa 7 October watumie akili njema kuwaepusha raia na dhahma hiyo.Kwani walitegemea ingekuwa ni sherehe ya kula ubwab
Tofauti ya dini ndio inakufanya uwe kipofu ila naamini kwenye nafsi zenu mnajua ukweli
 
Sidhani kama unaelewa hata nilichokieleza hapo na msimamo wangu.Uwe unanisoma vema.Asante.
Shida wewe unafafanua ukiwa na elements za udini pale kinachogombewa ni ardhi siyo dini wengine wanatumia dini ilikupata kuungwa mkono kama hamas wanavyojificha kwa watoto na wamama ili kupata huruma ila mimi nawalaumu wapalestina walioukataa mpango wa UN kama wenzao Israel wao walivyokubali ona sasa wamekuja kujikuta wamekuwa ndani ya taifa moja ila kwa unabii bado
 
Unachokiamini siwezi kukubadilisha.Asante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…