Huyu Mzee Mstaafu askari wa IDF Anachozungumza Ndicho IDF Imefanya Gaza

Walikuwa na asila na israel na sio tanzania.......kwanini waliua watanzania wenzetu bila hatia na wakati hawakuwakuta hata na kiwembe??? Waache waipate maana israel ametulipia pia watanzania wenzetu waliokufa kinyama kama wezi au majambazi......huku familia zao zikiwa hazina msaada wowote........tena maiti ya mmoja mpaka leo haijawai kupatikana
 
Yani kwamba Kuna mtu alikuwa hajui hili?, ajabu kweli kama ulikuwa hufahamu...ikiwa akili yako Iko free, Yani haijazongwa na masuala ya dini, itikadi nk za huko mashariki ya kati lazima ujue Hilo, Israel anatumia kisingizio chochote Ili kuangamiza na kuwarudisha nyuma waarabu, ni aidha upotee au uungane naye. Nchi kama Saudi, Qatar nk wamefanikiwa, kinachotokea hv Sasa Israel anapigana na Iran peke yake, waarabu ni miongoni mwa watu wapumbavu na wajinga (wametuzidi akili kidogo, Kwa maana ya kujikubali) baada ya sisi Africans. Mwarabu yyte ni adui wa muisrael hasa the so called Jews.
 
Uko sahihi sana mkuu. Nakubaliana na wewe.
 
Mtu / Binadamu yoyote yule anayewachukia Waisraeli hasa kwa Wakifanyacho huko Middle East ni Fool and Mental.
 
Mnatafuta huruma kupitia watoto na wanawwke? Pateni kinachowastahili
 
Siungi mkono vifo vya yoyote, lakini hayo ni maoni yake binadsi yasifunganishwe na Israel
 
Maneno mengi tumeshaongea sana humu ugomvi wote huu chanzo kikuu ni oct 7

Nenda kawasaidie ndg zako acha kupiga porojo nyingi hapa hazitasaidia lolote . Tutaendelea kuwamaliza magaidi wote kadri iwezekanavyo
Lakini si kuua wananchi wasio na hatia.
Wapambane na Hamas.
 
Samahani hivi unajua jiji la yerusalemu lina muda wa miaka mingapi mashariki ya kati Nataka tuchambue Israel ilikuwepo kuanzia lini naomba unifahamishe kama unajua rafiki?
Nshakumbia wale waliopo no wazungu kutoka EU, Israel mlioisoma kwenye biblia sio ile.

Wale ndio wamekaa pale kimabavu na story zao za uongo na kweli za miaka 3000 iliyopita.

Ndio maana nawauliza taifa la kiyahudi linalotambua LGBTQ, ile Israel walipo kuwepo kina King David n.k
 
Kwahiyo nyinyi mnapigania ardhi ya israeli ambayo sio yenu na wao sio yao walio ikalia pale?
 
Unajua LGBTQ ilianzia kwa waarabu wa kale umesoma historia ya dunia kweli,?
 
Oyaa mgalatia uchwara and 100 others unakera asee.

Kambaku Sir John Roberts
 
magnifico kijana hapa anadai wale waliopo israeli pale sio waisraeli wa kale, sasa Kwahiyo anamaanisha kuwa wapalestina wanapigania ardhi ya waisraeli wa kale ambayo sio yao inamaana wapalestina na wale waliopo hivi sasa wote sio ardhi yao.

100 others kijana ngoja nikupe historia kwa ufupi hapo kulikuwa na dola kubwa la rumi lililotawala kwa zaidi ya miaka 1200 dola hili lilifanya vita na israeli ya kale na kuishinda, wakawatanya waisraeli wote katika ardhi yao wengine walikimbia nchi yao kwasababu ya vita huko ulaya na maeneo mengine.

sasa baada ya kupita miaka mingi wapalestina waliokuwa wakiitwa wafilist walivamia maeneo ya waisraeli wa kale na kuyakalia kwa muda mrefu sana, sasa kile kipindi cha miaka ya 1800 dola la rumi lilianguka na kupoteza mamlaka yake hapa ndipo mataifa ya kisiasa yalianza kuundwa mfano marekani, china, japan, urusi nk

Sasa ndipo wale waisraeli waliokimbia vita walianza kurudi katika nchi yao ya israeli kutokea maeneo mbalimbali wengi walitokea ulaya, walivuorudi kutaka kurudisha ardhi yao kulitokea vita na wapalestina lakini israeli ilishinda vita hivyo na kuwafukuza wapalestina katika sehemu kubwa walio kuwa wakiikalia ikiwemo yerusalemu ambayo ni mji wa israeli sio wa Palestine,.

Ndipo kufikia ule mwaka wa 1948 ndipo israeli rasmi iliunda taifa la kisiasa na kuufanya mji wa yerusalemu kuwa kama mji wao mkuu, kitu ambacho wapalestina walipinga vikali na kupelekea vita vikubwa vya kikanda lakini waisraeli waliwashinda kwenye vita hivyo, basi ndio hadi leo hii kumekuwa na mivutano kati ya israeli na wapalestina.


Wewe unadai kuwa wale wa sasa sio wa israeli ni wazungubkutoka ulaya waliounda taifa 1948 inamaana wapalestina wanajua kuwa ile ardhi sio yao Kwahiyo wanapigania ardhi ambayo ni ya israeli
 

Mkuu, hii ni charter ya hamas, ipo kwenye katiba yao, wao mpango wao ni kuwafuta Wa-Israel katika uso wa Dunia, na kumbuka Israel na wao wana fuata ile notion ya "Jino kwa Jino"
 

Attachments

  • D953DAC5-6E3C-4BF6-8BEE-D9BD76DB1971.jpeg
    328.3 KB · Views: 1
Israel kuna blacks lakini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…