Huyu Mzee Mstaafu askari wa IDF Anachozungumza Ndicho IDF Imefanya Gaza

Ona na wewe ulivyosimama kwenye upande!

Kwa hiyo suluhu ama haki hutafutwa kwa kulipiza kisasi?

Mtu akikupiga nawe ukampiga tayari huo ni ugomvi.

Palestinians hawakustahili kutafuta suluhu kwa kufanya ugaidi.

Ugaidi kwa kingereza ni terrorist, kuwatisha mahasimu kwa kuteka watu wao ili watekeleze unachokitaka, hilo ni kosa la kisheria za kimataifa

Sasa uliyemtisha naye kajibu tishio kwa ukamilifu unaopaswa, matokeo ni mwendo wa kulia lia na kukimbizana kwenye mahandaki kama nyaga pamoja na kuwakinga raia kama ngao.

Mwana kulitafuta mwana kulipata, hivyo ni vita hatupaswi kuelekeza lawama ama upendeleo kwa upande wowote, wacha wapambane, mshindi ndiye atakayelibeba kombe.
 
Yaani HAMAS waue watu halafu saizi eti mnaketa story za kipuuzi. Wapamane na hali yao
 
Inawezekana huwa unasoma sana hadithi badala ya habari Ungekuwa mfuatiliaji ungejua kuwa waarabu wa Palestine mwaka 1948 walipewa 48% ya eneo lote, lakini Waarabu waliwazuia wasikubali kwa vile wao watawasaidia kuwaua wayahudi wote, hivyo wao waarabu wa Palestine watapata 100% ya eneo lote. Mwaka huo huo wa 1948, kwa msaada wa nchi za kiarabu, walianzisha vita, wakadondwa. Myahudi akazidi kujimegea eneo, maana aliyepewa amelikataa. Mwaka 1956, wakaanzisha vita tena, wakadundwa tena, myahudi akaongeza eneo. Mwaka 1967 wakaanzisha vita tena, wakapigwa. Mwaka 1972, wakaanzisha tena, wakapigwa tena. Misri iliyokuwa kiongozi wa kuwaambia waarabu wa Palestine wakatae, kwa vile watawamaliza wayahudi wote, akawa wa kwanza kusalimu amri na kuomba uhusiano wa kibalozi na wayahudi.

Iran na makundi yake ya kigaidi bado wameshikilia msimamo wao kuwa wazayoni lazima wamalizwe Duniani, wasiwepo.

Tuwaache, tuone jinsi Iran itakavyowafuta wazayuni duniani.
 
Unachokiamini siwezi kukubadilisha.Asante.
Yaani wataisha wote tatizo la kizazi hiki ujuaji mwingi soma biblia aliyoyatabiri yesu kuhusu taifa la Israel kutawanyika kwake na kurudi kwake hata hicho kipande cha palestinians lazima liwe lote kwa Israel na ndiyo maana kila walioamua mipaka vita Tambua tangu zamani hiyo ardhi haikuwa ya Israel ilikuwa ya wafilist walipewa kiunabii hiyo nchi na siyo kuwa Israel ni watu wema kivile wana mabaya yao ila bahati nzuri tayari wana kibali kwa Mungu ya ahadi za Ibrahim sisi nawe tukiweka ushabiki wa kidini inakula kwetu tuwaachiye wayamalize wenyewe
 
Umw
Umenena vema tatizo la waswahili wa dini ya kiislamu humu wanadhani ni dini inapigwa pale ni ardhi inagombaniwa na unabii wa Yesu aliyeuliwa na hao wayahudi alitabiri taifa la kizazi hicho kitaisha kisha taifa litachupuka upya na walimkana lazima warudi wote na lazima wate wamuubiri duniani kote ndipo laana yao itaisha kwa sasa ole wao wanaoshindana nao hawatapata ushindi aliyebarikiwa kabarikiwa tu
 
Niliandika "Asante" sijui kama uliiona?
 
Kwa hiyo ardhi/nchi ya Israeli iko wapi hapa duniani?
Kwani mkuu, Israel ilikuwa wapi kabla ya WW2?
Kama wao walitoka huko waliko hawana ardhi wakafika pale wamekaribishwa...

Kwanini wasiruhusu wenzao wawe na taifa linalotambulika? Si uonevu huo?
Hapo Israel walipo ndiyo kwao na hata Waarabu wastaarabu na wenye hekima wanashuhudia hivyo. Hao Wapalestina ndo waache vurugu warudi kwao..

View: https://x.com/sanderson17280/status/1774137548605993180?t=s7Qp7LsCkxnF0Cg5nKuU5g&s=09
 
Weka na aya za Quran zinazosema kuangamiza Wayahudi hata wakijificha nyuma ya mawe yatazungumza kusema hey kuna jahudi kajificha hapa mje mumuue.. Dini ya Iblis uislam..

Tukusaidie Sura al maedah 51
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…