Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
- Thread starter
-
- #61
Kaka wataifuta modesNimesoma pages zote 3, lakini sijaona hiyo clip ya bwana Tito akimtusi mtu
Kama una nafasi mtoa mada, tafadhali tuwekee hizo clip kukamilisha habari yako
Mkuu kwahiyo unamaana ya watamstarehesha?Ina matusi ya nguoni. Hasa lile tusi maarufu kwa wamama.. Sidhani kama atamaliza week hawajamla kiboga japo ndio starehe yake
HaifaiNimesoma pages zote 3, lakini sijaona hiyo clip ya bwana Tito akimtusi mtu
Kama una nafasi mtoa mada, tafadhali tuwekee hizo clip kukamilisha habari yako
UnaniboaHabari mke wangu mtarajiwa❤️❤️❤️❤️
👆👆Kipindi kile anawatukana wapinzani matusi hamkumuona kama anakosa ila sasa hivi kamtukana mama yenu mnaanza kupiga milio kwa kutumia vyombo vyenu vya Dola kwa kuyatumia mapolisi yenu....Aiseeee ukiwa CCM lazima usiwe na akili tu
Nimekuelewa MkuuHaifai
Nimekuelewa Mkuu, Kuna haja akamatwe na kupelekwa mirembe kwaajili ya matibabu ya ugonjwa wake wa akiliKaka wataifuta modes
chukua mgambo nenda mkamkateKaka mshana UKISIKILIZA huyu jamaa mfumo aliuo utumia sio wa busara huyu mama ana watoto ana wajukuu ana familia, apingwe Kwa HOJA na si matusi, ata lissu asemwe kwa hoja sio kumbeza, haipendezi
Kwani uongo mkuu?Hayajaanza kwa Nabii Tito tu, tuliona hadi vitabu vikiandika kubakwa kwa Mama ndani ya Ikulu kabisa.
Kama ambavyo ndugu wa huyo nabii Tito hawatakubali ikiwa ndugu yao atapotezwaInasikitisha sana Kwa kweli, ukimchukia hali ya kila mtu ana mzazi, unaona kabisa hata ninge kua Mimi nisinge kubali mama yangu atukanwe hivo
Siwezi kusema ni uongo au ukweli sababu hakuna ushahidi na muhusika mwenyewe hajakanusha wala kupinga habari hiyo.Kwani uongo mkuu?
Akitukanwa wanaumia na akikosolewa wanauwa, unaambiwa huwezi kushindana na dola.Akitukanwa samia wewe unaumia nini sasa