Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Kwenye ishu ya ndoa baba mchungaji na kondoo wake kipindi kile utangua tu jamaa hayupo sawa kabisa..Huyu namjuwa tokea akiwa kinyozi miaka 90++++
Alikuwa mbeba vyuma mwili mkubwa,mara hali ikabadilika akaanza kupumuliwa nyuma
Kuja badaye tena kumuona ni kama karukwa akili
Ova
Kwani hana hoja? yeye anasema mama kaua, haya anaongea uongo?Ukiachana na mama kuwa kiongozi ana familia ana watoto na wajukuu ifike mahali tuweke utu mbele, tabia kama hizi sio za kuzisapoti kabisa, tupimane Kwa HOJA na si Kwa matusi na kudhalilishana
Kama unajua ana tatizo la akili kwanini unamlaumu? unayajua maradhi ya akili kweli, watu wanatukana mama zao wa kuwazaa, ulipaswa useme arudishwe hospital badala ya kumlaumu na kumtakia mabayaAlisha pelekwa hospitali Dodoma ikagundulika ana matatizo ya akili sasa karudia tena
Kwa matusi hayo aliyoporomosha dahKwenye ishu ya ndoa baba mchungaji na kondoo wake kipindi kile utangua tu jamaa hayupo sawa kabisa..
🙏🫵❤️❤️Unaniboa
Ashapelekwa huyo anarudia tenaNimekuelewa Mkuu, Kuna haja akamatwe na kupelekwa mirembe kwaajili ya matibabu ya ugonjwa wake wa akili
Nenda Instagram mkuuHiyo clip iko wapi
Kila siku akamatwe mkuuchukua mgambo nenda mkamkate
KAMWAMBIE mkuu atakuelewa tu, kule insta anajibu comment za watu bila shidaMwambie huyo Mama yako pia tupimane kwa hoja sio mitutu ya bunduki. Wewe unafikiri matusi na risasi kipi kinauma
Kafungwa lissu we unaumia Nini sasaAkitukanwa samia wewe unaumia nini sasa
Kwani Tito kamtukana Samia pekee, Tito kadai ye MUNGU Hilo ni sawaHuyo Samiah akitukana watu sio shida, ila yeye akitukanwa kelele nyingi sana. Tupunguze unafiki
Sasa ye ni kila siku sawa ana mental illness, na wale mama wapembeni alio nao nao wana mental illnessAna mental illness ni wa kumsaidia sio kumkamata
Na wale wa mama wa pembeni nao wana mental illness?Kama unajua ana tatizo la akili kwanini unamlaumu? unayajua maradhi ya akili kweli, watu wanatukana mama zao wa kuwazaa, ulipaswa useme arudishwe hospital badala ya kumlaumu na kumtakia mabaya
Na wale wa mama wa pembeni alio jirekodi nao nao ni machizi?Kwa matusi hayo aliyoporomosha dah
Off course jamaa hayuko sawa,miaka ya zamani anapigana chuma alikuwa kidali mara ehh akaanza ujunya,wadau wakawa wanasema alitembea na mke wa mpemba ndy alimfanya hivyo 😄
Ila huyo watampiga sjui watamfanyajee Labda wampeleke mirembe 😄 tena
Ova
Na wale mamama alie jirekodi nao nao ni wagonjwa? Mbona hili swali alijibiwiYule mbona inafahamika NI mgonjwa WA akili
Yeye ni MUNGU na yesu ni mwanae Hilo pia ni sawa?Kwani hana hoja? yeye anasema mama kaua, hoyo hoja anaongea uongo?
MUngu mwenyewe ndio atajuana nae, lkn kwa mama ujumbe unapenyaYeye ni MUNGU na yesu ni mwanae Hilo pia ni sawa?
KAMWAMBIE mkuu atakuelewa tu, kule insta anajibu comment za watu bila shida
Nabii Tito anatakiwa kusaidiwa kisaikolojia, achukuliwe apelekwe hospitali ya wagonjwa wa akili akatibiwe,Video clip inayo endelea kusambaza huyu nabii akimtusi mama imenifikirisha sana