Huyu naye alikuwa anawaza nini kumuoa Dida?

Kama ndo ivyo kikinuka we si utaninyang'anya hata simu ya kuitia bajaji..hehe

Ndo mana nimekwambia uwe na leseni ya kuendesha Bajaj!
Maana ntaficha mpk simu nilizokununulia!
 
wewe habu tuondolee kichefuchefu hapa huyo pimbi mwenzanko si wa kwanza, mbona kopa alikuwa akimbemenda kitoto kimoja kilikuwa ni diwani wa magomeni bagamoyo.

Tuheshimiane Matola, hunifahamu sikufahamu, tumia lugha yenye staha tafadhali.
 
Last edited by a moderator:
Mengine ni personal issues ila elewa wameanza uhusiano zamani sana tu na huyohuyo Dida ndo alikua akimfuata Ze Rocka Mwanza.
fafanua vizuri alikuwa akimfuata mwanza wakati akiwa na G au Mchops
 
haa haa naona siku yako inataka kuwa njema....okota dhahabu hiyo dada chakuokota si cha kuiba mwenye mali ni mjinga

Ahahahahahahahahahaha
Kijana anataka kuja kushare na ticha kopo la kaloraiti!
 
niambie kama uko under age kwanza lol

Hehe..nyie siwawezi, kutangaza nia kidogo tu nataka kupewa za uso, kweli kudate na superstar ni mzigo bora nijiweke pembeni au tufanye kimyakimya.
 
Hapo jua ndoa yenu ya uhakika. Hongera mama kwa kuitunza. Ukiona mapicha juwa ni kuficha kitu
 
Aaah,utandawaz huo wa kutaka kuweka historia,,,,jamaa alipagawa kwa mamaaa wa mitikisiko ya PUANI
 
Tuheshimiane Matola, hunifahamu sikufahamu, tumia lugha yenye staha tafadhali.

hebu kwendaga uko wakati mapovu yanakutoka kutetea ujinga ulikuwa unategemea nini? by the way sina hata appetite ya kujuwana na mtu mzembe kama wewe.
 
Last edited by a moderator:

Umeisikiliza kweli hii video au umetoa tu yako ya moyoni, aliezingua ni mwanamke wala si yeye na pia hajalilia mali yoyote ya huyo dida, ingekuwa anasubiri malengo yake yatimie basi angeendelea kuwa mume ----- lakini yalipomshinda amefanya maamuzi ya kiume
 
Vijana wa bajaj
Hakikisheni kweny kila nyumba ya star wa kike mnaweka kijiwe!
Anzieni kwa shilole.
Snura
Jide ah huyu hakuna biashara washavuka hii stage!

hahahahahah!!! but please waweza nsaidia hapo kwa snura??
 
Hahaha ganda la mua la jana hilo prezidaa, chungu kaona kivuno.

wanaume marioo ndo dawa yao hiyo. Mume wa flora mbasha nae si kapatana na mkewe? Anamsindikiza mahakamani?

Doda wamwache aokewe kadri awezavyo.....

Mwanaume akukupa stress tupa kule
 
huyu dida mwisho sasa atahamia kuoa wanawake wenzie manake wanaume kashawamaliza
 
mapenzi upofu babu.......

mario kazi kulelewa habari ya mjin

usilolijua sawa na usiku wa giza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…