Huyu naye alikuwa anawaza nini kumuoa Dida?

Huyu naye alikuwa anawaza nini kumuoa Dida?

wewe habu tuondolee kichefuchefu hapa huyo pimbi mwenzanko si wa kwanza, mbona kopa alikuwa akimbemenda kitoto kimoja kilikuwa ni diwani wa magomeni bagamoyo.

Tuheshimiane Matola, hunifahamu sikufahamu, tumia lugha yenye staha tafadhali.
 
Last edited by a moderator:
Mengine ni personal issues ila elewa wameanza uhusiano zamani sana tu na huyohuyo Dida ndo alikua akimfuata Ze Rocka Mwanza.
fafanua vizuri alikuwa akimfuata mwanza wakati akiwa na G au Mchops
 
haa haa naona siku yako inataka kuwa njema....okota dhahabu hiyo dada chakuokota si cha kuiba mwenye mali ni mjinga

Ahahahahahahahahahaha
Kijana anataka kuja kushare na ticha kopo la kaloraiti!
 
Uwiii kuta znaficha mengi.kumbe zile picha tulizokuwa tunawekewa kwenye blog ilikuwa zinapigwa huku mmoja anakinyongo?mwee nilikuwa natamani naona wanandoa wengine wanavyoishi kwa mapenzi mimi mume hajawahi niomba hata sikumoja tupige picha.Pole zake Ezden n Dida pia hatuujui ukweli waujua wenyewe kama walivyosema tusiwe wepesi kuhukumu.
Hapo jua ndoa yenu ya uhakika. Hongera mama kwa kuitunza. Ukiona mapicha juwa ni kuficha kitu
 
Aaah,utandawaz huo wa kutaka kuweka historia,,,,jamaa alipagawa kwa mamaaa wa mitikisiko ya PUANI
 
Tuheshimiane Matola, hunifahamu sikufahamu, tumia lugha yenye staha tafadhali.

hebu kwendaga uko wakati mapovu yanakutoka kutetea ujinga ulikuwa unategemea nini? by the way sina hata appetite ya kujuwana na mtu mzembe kama wewe.
 
Last edited by a moderator:
Huyo uliyemuoa wewe unauhakika yupo sahihi kuliko Dida? Kwani tatizo hapo ni nini? Yeye hakuliona hilo tangu awali la kwenda kuishi kwa mwanamke? Kifupi inaonekana malengo yaliyompeleka kwa yule demu hayajatimia na ndio maana akazingua we inakuaje mtoto wakiume ulilie mali za mwanamke? Tutakupakata hapa mjini.

Umeisikiliza kweli hii video au umetoa tu yako ya moyoni, aliezingua ni mwanamke wala si yeye na pia hajalilia mali yoyote ya huyo dida, ingekuwa anasubiri malengo yake yatimie basi angeendelea kuwa mume ----- lakini yalipomshinda amefanya maamuzi ya kiume
 
Hapa kipindi wanafunga ndoa na Ezden... Mahaba nigalagaze!!

1011290_10200281292494974_119616017_n.jpg

Heee heee kho kho kho hawaendab kabisa Ni mama mdogo na mtoto wa mama mkubwa.


Sent from my Philips.
 
Vijana wa bajaj
Hakikisheni kweny kila nyumba ya star wa kike mnaweka kijiwe!
Anzieni kwa shilole.
Snura
Jide ah huyu hakuna biashara washavuka hii stage!

hahahahahah!!! but please waweza nsaidia hapo kwa snura??
 
Hahaha ganda la mua la jana hilo prezidaa, chungu kaona kivuno.

wanaume marioo ndo dawa yao hiyo. Mume wa flora mbasha nae si kapatana na mkewe? Anamsindikiza mahakamani?

Doda wamwache aokewe kadri awezavyo.....

Mwanaume akukupa stress tupa kule
 
huyu dida mwisho sasa atahamia kuoa wanawake wenzie manake wanaume kashawamaliza
 
mapenzi upofu babu.......

mario kazi kulelewa habari ya mjin

usilolijua sawa na usiku wa giza
 
Back
Top Bottom