snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,065
- 24,559
Kama ndo ivyo kikinuka we si utaninyang'anya hata simu ya kuitia bajaji..hehe
Ndo mana nimekwambia uwe na leseni ya kuendesha Bajaj!
Maana ntaficha mpk simu nilizokununulia!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ndo ivyo kikinuka we si utaninyang'anya hata simu ya kuitia bajaji..hehe
Hiyo avatar yako imenifanya nikupende bure..
wewe habu tuondolee kichefuchefu hapa huyo pimbi mwenzanko si wa kwanza, mbona kopa alikuwa akimbemenda kitoto kimoja kilikuwa ni diwani wa magomeni bagamoyo.
fafanua vizuri alikuwa akimfuata mwanza wakati akiwa na G au MchopsMengine ni personal issues ila elewa wameanza uhusiano zamani sana tu na huyohuyo Dida ndo alikua akimfuata Ze Rocka Mwanza.
haa haa naona siku yako inataka kuwa njema....okota dhahabu hiyo dada chakuokota si cha kuiba mwenye mali ni mjinga
niambie kama uko under age kwanza lol
Hapo jua ndoa yenu ya uhakika. Hongera mama kwa kuitunza. Ukiona mapicha juwa ni kuficha kituUwiii kuta znaficha mengi.kumbe zile picha tulizokuwa tunawekewa kwenye blog ilikuwa zinapigwa huku mmoja anakinyongo?mwee nilikuwa natamani naona wanandoa wengine wanavyoishi kwa mapenzi mimi mume hajawahi niomba hata sikumoja tupige picha.Pole zake Ezden n Dida pia hatuujui ukweli waujua wenyewe kama walivyosema tusiwe wepesi kuhukumu.
Tuheshimiane Matola, hunifahamu sikufahamu, tumia lugha yenye staha tafadhali.
Huyo uliyemuoa wewe unauhakika yupo sahihi kuliko Dida? Kwani tatizo hapo ni nini? Yeye hakuliona hilo tangu awali la kwenda kuishi kwa mwanamke? Kifupi inaonekana malengo yaliyompeleka kwa yule demu hayajatimia na ndio maana akazingua we inakuaje mtoto wakiume ulilie mali za mwanamke? Tutakupakata hapa mjini.
snowhite keshamaliza kule juu, hizo vitu haziulizaGI birth certificate.niambie kama uko under age kwanza lol
Hapa kipindi wanafunga ndoa na Ezden... Mahaba nigalagaze!!
![]()
Usijali!.
Inayofata zitatoka vidhuuuuri
Vijana wa bajaj
Hakikisheni kweny kila nyumba ya star wa kike mnaweka kijiwe!
Anzieni kwa shilole.
Snura
Jide ah huyu hakuna biashara washavuka hii stage!
Hahaha ganda la mua la jana hilo prezidaa, chungu kaona kivuno.
wanaume marioo ndo dawa yao hiyo. Mume wa flora mbasha nae si kapatana na mkewe? Anamsindikiza mahakamani?
Doda wamwache aokewe kadri awezavyo.....
Mwanaume akukupa stress tupa kule