Khaa jamani tusione watu wanatupia tu mapicha wapo vacation sijui tukawatamani, maake kila weekend watu wanatalii tu. Kuta za nyumba zinaficha mengi kiruuuu.
Sema me namuaminia dida, hapa sisi tunatokwa povu yeye jana kavuta baby mpya (new ride) hehehehe tushamtangazaaaaaa. Nahisi hapo kichwani anawaza style mpya ya gauni atakalovaa on her next wedding. Anaweka shida chini, ananyanyua mikono juu anabanjukaaaaaa. Huyo ndo Dida a.k.a kim k, a.k.a ndimu mkata shombo. Namtamiajee mwenzangu ndoa ya 4 ipo njiani, me hata kupewa proposal on april fools sijawahi hahahahaahaahaha
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums