Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamani we snowhite unanichekesha na comment zako lol
Hahaha ganda la mua la jana hilo prezidaa, chungu kaona kivuno.
wanaume marioo ndo dawa yao hiyo. Mume wa flora mbasha nae si kapatana na mkewe? Anamsindikiza mahakamani?
huyu dida mwisho sasa atahamia kuoa wanawake wenzie manake wanaume kashawamaliza
Fulo na mumewe, sema akyanani?
haa yaani kama mlemavu wa ngozi..
Weeee!
Sa hiz Fulo wanja anaupaka kushuka chini.
Ema havai tena ndaba za njano!
hebu kwendaga uko wakati mapovu yanakutoka kutetea ujinga ulikuwa unategemea nini? by the way sina hata appetite ya kujuwana na mtu mzembe kama wewe.
uvivu umemfikisha hapo... akome
Vijana wa bajaj
Hakikisheni kweny kila nyumba ya star wa kike mnaweka kijiwe!
Anzieni kwa shilole.
Snura
Jide ah huyu hakuna biashara washavuka hii stage!
Haha..jf burudani, utadhani ulimpa akashindwa.
Mvivu kwenye maisha ndiyo maana kaenda kuishi kwa dida