Huyu naye alikuwa anawaza nini kumuoa Dida?

Huyu naye alikuwa anawaza nini kumuoa Dida?

Pesa ni jeuri lakini mwisho wake makaburi ya kisutu au kinondoni..
Mume aliingia choo cha ndere....
Kunguru mweusi anafugika????
 
Mapenzi ni kama hadithi ....Huyo Ezden anakijua alichokifata kwa Dida

maana mie nilikuwa naona tu status za Dida wa Ezden, Mapozi ya picha tu ndo usiseme na walikutana ,,Ezden alikuwa vere Brothermen
 
Wangine wanataka kua maarufu kupitia mgogoni kwa wake/wanawake zao wakisha pata wanajisahau kabisa hata kuangalia walikotokea na wao wanatafuta wenziwao wakuwaburudisha waonekane wanaume kumbe asara tupu....
 
hebu kwendaga uko wakati mapovu yanakutoka kutetea ujinga ulikuwa unategemea nini? by the way sina hata appetite ya kujuwana na mtu mzembe kama wewe.


Haaaah Matola umenichekesha, nakumbuka siku moja tupo Salun 2kamzungumzia Hadija kopa na kile kibwana chake (RIP) kuwa Hadija kopa ni mkubwa kwake! loooooh mmama mmoja alitoa kichwa kwenye dryer acha atunange bana eti si tumejuaje kuwa hawako sawa kiumri? Hivi inahitaji akili ya darasa la tano kulitambua hilo kweli? Kumbe siri ya mtungi siku ya siku tukambamba yule mmama akiwa na kikaka kidogo wanadendeka Bar flan hivi wapo kwenye kona Sie ndo kugundua kuuuumbeeeee!!!! Alikuwa akimtetea mbuz mwenzie!
 
kama mama na mwanae.........

na vijawa wengi siku hizi wanavtopenda kulelewa
 
Huko insta kukulikwa hakukaliki hizo picha zao.mbona shida tena
 
Mvivu kwenye maisha ndiyo maana kaenda kuishi kwa dida

Hehe lets assume mie nakuoa wewe, niko na kwangu pia uko na kwako, hutaki kutoka kwako kuja tuishi kwangu..mie nijishushe nikuskilize wewe nije kwako, itakuwa sahihi kweli kuniita mvivu na unanilea?
 
dida bwana afu tatizo anajipaisha sana akishaolewa anaanza kutumia jna la mumewe ajifunze kwa joyce kiria mwenzie alivyoolewa na dj nely akawa anaitwa joyce kiria nkongo walivyoachana na kuolewa na kileo hatumii jna la mumewe tena asa hv!
 
Khaa jamani tusione watu wanatupia tu mapicha wapo vacation sijui tukawatamani, maake kila weekend watu wanatalii tu. Kuta za nyumba zinaficha mengi kiruuuu.

Sema me namuaminia dida, hapa sisi tunatokwa povu yeye jana kavuta baby mpya (new ride) hehehehe tushamtangazaaaaaa. Nahisi hapo kichwani anawaza style mpya ya gauni atakalovaa on her next wedding. Anaweka shida chini, ananyanyua mikono juu anabanjukaaaaaa. Huyo ndo Dida a.k.a kim k, a.k.a ndimu mkata shombo. Namtamiajee mwenzangu ndoa ya 4 ipo njiani, me hata kupewa proposal on april fools sijawahi hahahahaahaahaha

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom