Huyu naye alikuwa anawaza nini kumuoa Dida?

Huyu naye alikuwa anawaza nini kumuoa Dida?

Aisee sasa hivi haki sawa nyie mnaolewa na wenye hela na kina kaka nao wanataka w/wake mwenye hela....vice versa is true!!


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Nyie watoto wa kiume sasa mnatia hasira kila leo mnalizwa;

Siku ukipata mwanamke mwenye mali zake hakikisha mnaandikishana hadi
kwa mwanasheria ijulikane mali ya ndoa ni ipi na ya kila mwanandoa binafsi ni ipi.

Shauri zenu.
 
mrsleo mgeni mjini hahahaha! akikukamata huyo weeh utamuona mr leo ni wa juziiiii
Ehehehehe we naeeee!
Anauza dildo huyu ujuee
Anazo mpk za umeme,I hope anauza na tu jenereta twake,in case umeme umekatika!
 
hivi unajua ni kwa ini mwanume anaitwa kichwa? ni kwa sababu ni anatakiwa kuwa mmiliki... hivi umekuja kwangu nyumba yangu , kila kitu changu do u think unaweza kuwa nasay pale kwa maana hiyo wewe ni mkia... you have power because you have something

Cant u see kwamba thaman yako ni zaid ya izo "something"..!!?? ninapokuoa ninakumiliki na ndo sababu nitaitwa kichwa.
 
Hahaha ganda la mua la jana hilo prezidaa, chungu kaona kivuno.

wanaume marioo ndo dawa yao hiyo. Mume wa flora mbasha nae si kapatana na mkewe? Anamsindikiza mahakamani?

embu saidia marioo ni nn bwa shekhe
 
Nasubiri siku gadna akiliaa kwenye media kua kafukuzwaaaa teh teh
 
anatisha kwa kweli yaani ngozi imechunika hadi damu naona inaonekana...ulishawahi kuona wapi ngozi ya binadamu inakuwa transparent? mtiririko wa damu wote out...majanga !!!

Oh mbavu zangu kweli huku saumu husikii kbs loh zeruzeru
 
naiwaza ndoa yake ya nne

atafanyiwa tena kitchen party na send off?
 
Back
Top Bottom