JF members wengi huwa hawapitia "comments" za wachangiaji/waliotoa maoni kabla,wengi hufika na kuandika maoni yao pasina kutazama au kupitia maoni ya wachangiaji.
Hilo la Senzo Mthethwa Kuna baadhi katika uzi huu washalitolea ufafanuzi kwamba bado yupo hai ,habari za kwamba alishakufa zilikuwa fake! Btw Google is your Friend.
Bwana mmoja kwa jina la BONGANI QWABE! 8/1/2015.
Namnukuu
"Guy's stop spreading lies Senzo is my neighbour.His still alive I know him and his family,His home is at KZN Kwesakwa Mthethwa Empangein;
The Only person who died is Senzo's neighbour was Mbhaganga Musician Thisha Nzunza"
Senzo Mthethwa aliyetamba ni vibao vikali kama vile- Rasta wake up,Peace Soldier na vingine vingi bado yupo HAI