Huyu ndie lucky Philip dube

Huyu ndie lucky Philip dube

Mimi pia Ni rasta lakin sio mtumiaji wa bangi wala sigara? ILA kinywaji napiga,
That's means sio kila rasta lazima avute au kunywa atii
Peace and Love maaaaaaaaaaaaan.
Mimi pia ni Rasta, ila situmii vyote hivyo na pia sina Rast(dread) hata moja.
Aileeee Jah.
 
Mtangazaji kamuuliza mbona akajib fresh tu!!!! Au unataka kutuaminisha kua aliongopa??

Hata bob mara nying alikua anaulizwa na anajib kwamba bila ganja mashairi hayapandi,,mbona walikua wapo wazi tu
Aaah wapi, Sura yake inaonesha hivi hivi
 
Ngoma zake sasaaa ndio balaa....
1. Fugitive
2. Women
3. Respect
4. Son I'm sorry
5. The other side
6. Crazy world
7. Monster
8. Together as one
9. Romeo & Juliet
10. Remember me
11. Kiss no frog
12......
 
Lucky Dube ni Moja ya binadumu niliyepata kuzipenda nyimbo zake,Na album ya Prisoner nadhani kwangu ndio album bora ikiwa na vibao vizuri na vikali vilivyo sheheni Elimu tosha na burudani.
1.Prisoner
2.War and Crime.
3.Dracula.
4.Reggae Strong.

5.Remember Me.
6.Jah Live.
7.False prophets.
8.Don't Cry.

Huwa sichoki kusikiliza album hii.
Pamojah mkuu!!
Kwa raggae Dube ndio namba moja kwangu. Huwa sikinai kusikiliza nyimbo zake.
 
Sasa kwann wanatumia lile ua lawo la bangi kuatambulisha
Wao wanaamini kuwa bangi humpa mtu hisia ambazo binadam wa kawaida hawezi kuwa nazo,ndio maana ma rastafrian wanapokuwa nwanaandika nyimbo hasa watu wa reggae mara nyingi ni lazima wapate hyo kitu
 
Eleza mahusiano yake na Senzo pamoja na uhusika wake kifo cha Senzo
Senzo yuko hai, alizushiwa kifo tu. Tafuta ckip yake youtube, aliugua maleria ,celebral maleria akiwa anafanya show namibia, maleria ile ikamsumbua kiasi kwamba iliharibu mpaka mfumo wake wa sauti, hivyo akawa hawezi kuimba tena,ila amerecover na anatarajia kutoa album. Tafuta hiyo vdeo na maelezo yake youtube
 
Wao wanaamini kuwa bangi humpa mtu hisia ambazo binadam wa kawaida hawezi kuwa nazo,ndio maana ma rastafrian wanapokuwa nwanaandika nyimbo hasa watu wa reggae mara nyingi ni lazima wapate hyo kitu
Kwa historia ya maisha ya marehemu Lucky Dube ya kulelewa na bibi kwa shida,inatosha kabisa kutojiingiza kwenye ulevi na kuwa na hisia kali pindi alipokuwa anaimba.Lucky Dube hakuwa na historia nzuri ya maisha yake,na ilimfanya aingie kwenye utafutaji mapema sana ili aweze kuisaidia familia yake.
 
Niseme hata sina ushahidi. Lucky ndiye alopanga mauaji ya Senzo kufuatia kuporomoka kwa mauzo baada ya Senzo kutoa album mbili haraka ambazo zilipanda ghafla sokon huku za Lucky zikishuka ghafla pia. Lucky aliamua amwondoe Senzo ili kulinda biashara. Wafuasi wa Senzo waliapa kulipiza kisasi kwa kumwua Lucky, yaani, "mwaga ugali nimwage mboga" mipango ilifanywa kwa siri sana kwani hata wafuasi wa Senzo walipoulizwa nani kamwua Senzo hawakuonesha kama wanamhisi lucky hata kidogo.
 
JF members wengi huwa hawapitia "comments" za wachangiaji/waliotoa maoni kabla,wengi hufika na kuandika maoni yao pasina kutazama au kupitia maoni ya wachangiaji.

Hilo la Senzo Mthethwa Kuna baadhi katika uzi huu washalitolea ufafanuzi kwamba bado yupo hai ,habari za kwamba alishakufa zilikuwa fake! Btw Google is your Friend.
Bwana mmoja kwa jina la BONGANI QWABE! 8/1/2015.
Namnukuu
"Guy's stop spreading lies Senzo is my neighbour.His still alive I know him and his family,His home is at KZN Kwesakwa Mthethwa Empangein;
The Only person who died is Senzo's neighbour was Mbhaganga Musician Thisha Nzunza"

Senzo Mthethwa aliyetamba ni vibao vikali kama vile- Rasta wake up,Peace Soldier na vingine vingi bado yupo HAI
 
Ulielewa maana yake? Senzo amewahi kanusha kufa kwake? Jiulize.
 
Back
Top Bottom