Huyu ndio Dr. Emmanuel Nchimbi ninayemfahamu

Hivi waliokua na mitambo ya kutengeneza pesa bandia majumbani kwao ni kina nani ??tena wakiwa viongozi wa wizara nyeti kabisa ,
 
umesahau UVCCM ya huyu jamaa? wakati akiwa Mwenyekiti?
unamkumbuka Amina Chifupa-Mpakanjia?
 
Mtakemsitake inaonekana Sitta atarudi tena,Zungu hawezi Kuwa Spika kwa kuwa ni mtu ambaye hana misimamo mikali kama akina Ndugai ni kama yupo neutral kidogo kwa sababu hiyo anaweza akaungwa mkono pia na wapinzani, kwa chama changu ninavyokifahamu huyu mtu hatapitishwa kwa hofu ya kuhatarisha maslahi ya chama akiwa Spika. Kwa Nchimbi kitendo cha kutofautiana na kamati kuu hadharani wakati wa uteuzi wa mgombea urais kitaendelea kumw?ndama hawezi kupitishwa na CCM licha ya kukosa uzoefu hata wa kuwa mwenyekiti wa bunge kwenye naf?si hiyo.Lkn huenda ni mkakati wake wa kutaka afikiriwe kwenye nafasi fulani endapo ataukosa uspika. Sitta anaonekana in mtetezi wa kweli wa maslahi ya chama, mfano mdogo tu ni namna alivyoshiriki kuingiza matakwa ya chama katika katiba pendekezwa lkn lolote laweza kutokea ngoja tuone.
 
Mkuu kula 5 maanake kitufe cha LIKE siku hizi hakionekani sijui ni kwangu tu.
 
Haya ndiyo majibu kutoka kwa Nyamagaro

nyamagaro is offline nyamagaro
5th December 2011 10:41
#61 Report Post
nyamagaro's Avatar
JF Senior Expert Member Array

Join Date : 25th February 2010
Posts : 344

Rep Power : 666

Likes Received
54
Likes Given
19

Default PhD mbili za Nchimbi Emmanuel ni halali? High level ya uchakachuaji Tanzania

wakuu wa kazi, juzi mzumbe walikaririwa na vyombo vya habari wakimtunuka nchimbi phd. Ieleweke kuwa kwa muda mrefu huyu jamaa amekuwa akiitwa doctor kumbe hana phd. Kama hali imefikia hivi hatuoni kuwa Tanzania tumefika kubaya? Mtu anajiita dr wakati he doesnt have such qualification. Na hata kama mzumbe wamempa hii phd tuambiwe amesoma saa ngapi?

hiyo thesis imefanywa na nani kwa sababu ndi ngumu sana kubalance between masomo na siasa, especially being a minister. I am doubting universities zetu hizi, zinachangia kuzalisha wasomi feki. The top most three in fake phd are UDOM, UDSM and MZUMBE. Hii ni embarassment kwa jamii ya wasomi kutoa degree zisizofanyiwa kazi.

Hatuwezi kufika huko tunakotaka kama hali yetu ndiyo hii. maana tumefikia upumbavu wa hali ya juu kwa kujidanganya kuwa tuna wasomi kumbe sifa haziendani na kisomo cha mtu. Huu ni ufisadi wa aina ya pekee. Wanasiasa wanaweza kupata phd ki rahais hivi!
 
Jitahidi kumpigia debe. Lakini wengi tunajua kwamba yeye ni mmoja wa wanamtandao. Wanamtandao ndiyo waliompakazia Salim, ndiyo waliocheza bao la kutuletea JK, na baada ya hapo wakasambaratika, na karibu watuletee machafuko hivi karibuni. Na yeye huyu, alitoka hadharani kupinga mambo yao ya CCM huko. Siku mbili baadae his true opportunistic face showed up kwenye majukwaa akiwanadi CCM wake hao hao aliowashutumu kwa kubaka demokrasia. Tunamjua kwa mambo mengi mengine ya hovyo. Huyu ataendeleza ubabe na kuleta makambi mengine ya hovyo. Hawezi kutakata hata mkimsafisha. Ni bora mhifadhi nguvu zenu mkaangalia wengine.
 

Wametumea Team dodoki na ID zao kusapoti kutetea kama Yale yaliyopita
Kitu gan alifanya ktk uwaziri mambo ya ndani....business as usual
 
Mkuu hakumlalamikia uteuzi wa Magufuli alikuwa analalamikia utaratibu ulitumika kuchuja wao ambao hawakuingia Tano bora ni jambo la kawaida kabisa kuhoja kama unaamini umeoneo mbona raisi mstaafu alivyokatwa 1995 nae alilalamika hivyo ni haki yake ya kikatiba.
Uzuri wa Nchimbi hana jazba, Kijana tofauti na wengine, Mzee sita mnakumbuka madudu yake ya kupindisha kanuni katka bunge la katiba yaliyotoke tunayajuwa, Mama Anna Makinda nae ana jazba sana bunge liliopita lilimshinda Job Ndugai ndiyo kabisa haifa kwenye kampeni karibu aue mtu kwa hasira,
 
Mabasi yalipotea miaka hiyo unatakiwa kuwauliza Mameya wa Dar Miaka ya hiyo ya 1992 utaambiwa walipeleka wapi mabasi ya wanafunzi Erythrocyte
 
Last edited by a moderator:
ashakulipa advance huyo nchimbi?? ningefurahi zaidi ukatueleza kawafanyia nini wanasongea ktk hiyo miaka kumi kama siyo kuirudisha nyuma songea yetu
 
Na spika anachagua Magufuli?
pamoja na kuwa hachagui yeye moja kwa moja ila msimamo wa chama chake nani anafaa lazima ashirikiswe na yeye ana kura ya veto. hapo mzee 6 na nafasi kubwa ndani ya CCM ingawa alituangusha sana kwenye bunge la katiba.
 
Mchimbi si timu fisadi huyo!?

Ahg! Hatuna imani huyo!
 

Ulisoma ile taarifa na emails wakati Dr Mvungi alipouwawa?
 
Team lowasa rostam kazini tena.Mmekosa urais mnataka kumiliki bunge.mtaisoma mwaka huu
 
Nchimbi aligombea Urais wa Wanafunzi Mzumbe na kushindwa? Au alikuwa Rais? Hebu nikumbushe kidogo kipindi akiwa Rais wa wanafunzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…