Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umesahau UVCCM ya huyu jamaa? wakati akiwa Mwenyekiti?Twende na Nchimbi
Ni msomi
Ni kijana
Ana uwezo
Ana uzoefu mkubwa
Anaweza kuunganisha watu wa mitizamo tofauti
Ni mwanadiplomasia
Ana kipaji cha uongozi
Ni rika la wabunge waliowengi ktk kipindi hiki
Anaijua ccm ndani nje
Anaijua nchi yetu
Anaweza tumsaidie atalisaidia bunge.
Mkuu kula 5 maanake kitufe cha LIKE siku hizi hakionekani sijui ni kwangu tu.Mimi ukiniambia anasimamia anachokiamini sikuelewi maana tumeshuhudia hapa majuzi katoka nje ya kikao cha kamati kuu akisema CCM hawajatenda haki, halafu baada ya mwezi mmoja anapanda jukwaani kumnadi huyo mtu aliyesema hakupitishwa kwa haki, huu msimamo wa kinafiki umenifanya nimshushe vyeo
Mimi ukiniambia anasimamia anachokiamini sikuelewi maana tumeshuhudia hapa majuzi katoka nje ya kikao cha kamati kuu akisema CCM hawajatenda haki, halafu baada ya mwezi mmoja anapanda jukwaani kumnadi huyo mtu aliyesema hakupitishwa kwa haki, huu msimamo wa kinafiki umenifanya nimshushe vyeo
Mkuu kula 5 maanake kitufe cha LIKE siku hizi hakionekani sijui ni kwangu tu.
Mkuu hakumlalamikia uteuzi wa Magufuli alikuwa analalamikia utaratibu ulitumika kuchuja wao ambao hawakuingia Tano bora ni jambo la kawaida kabisa kuhoja kama unaamini umeoneo mbona raisi mstaafu alivyokatwa 1995 nae alilalamika hivyo ni haki yake ya kikatiba.Mimi ukiniambia anasimamia anachokiamini sikuelewi maana tumeshuhudia hapa majuzi katoka nje ya kikao cha kamati kuu akisema CCM hawajatenda haki, halafu baada ya mwezi mmoja anapanda jukwaani kumnadi huyo mtu aliyesema hakupitishwa kwa haki, huu msimamo wa kinafiki umenifanya nimshushe vyeo
Ubunge alikatwa na kitengo, baada ya kulalamika kukatwa Lowassa!
pamoja na kuwa hachagui yeye moja kwa moja ila msimamo wa chama chake nani anafaa lazima ashirikiswe na yeye ana kura ya veto. hapo mzee 6 na nafasi kubwa ndani ya CCM ingawa alituangusha sana kwenye bunge la katiba.Na spika anachagua Magufuli?
Anaitwa Dr Emmanuel John Nchimbi, Moja Kati Ya Masenior Comredi Ndani Ya Chama Cha Mapinduzi Ni Mtu Mahiri Katika Kile Anachokiamini Na Hafundishwi Punda Kumwita Farasi.
Ni Mwanasiasa Mwenye Nguvu Ndani Na Nje Ya ccm katika Ushawishi na Ukubalikaji wake.
Wasifu wake kiuongozi ni mpana sana Ameanza Kuwa Raisi Wa Chuo Kikuu Mzumbe Akaja kuwa Mwenyekiti Wa uvccm Taifa Akagombea Ubunge jimbo La songea mjini akirisi mikoba ya Laurensi gama.
Amekuwa mbunge kwa miaka kumi na amekuwa waziri kamili katia wizara mbili tofauti Wizara Ya Nyumba Na Makazi Na Wizara Ya mambo ya ndani pia Amekuwa naibu waziri katika wizara mbili tofauti wizara ya habari tamaduni na michezo pamoja na wizara ya mambo ya ndani.
Anasifika kwa uwelewa mpana wa mambo ya kitaifa katika nyanja mbali mbali kijamii kisiasa na kiuchumi.
Ameweza kuwatenegeza wanasiasa wengi mashughuli wakiwemo madc na wabunge wabunge lijalo katika baraza la vijana taifa la mwaka 2008
Makatibu wa uvccm na wa wilaya na mikao ni product yake pia ni mjumbe kamati kuu kwa miaka isopungua 17 anajua ajenda za chama na kitaifa
Kijana na msomi mwenye uwezo wa kulimudu Bunge lijalo la 11
#Twende na Nchimbi Uspika
Kuendelea kuwa na mtandao kunaweza leta shida tena kwenye urais baadaye.Team lowasa rostam kazini tena.Mmekosa urais mnataka kumiliki bunge.mtaisoma mwaka huu
Nchimbi aligombea Urais wa Wanafunzi Mzumbe na kushindwa? Au alikuwa Rais? Hebu nikumbushe kidogo kipindi akiwa Rais wa wanafunzi.Anaitwa Dr Emmanuel John Nchimbi, Moja Kati Ya Masenior Comredi Ndani Ya Chama Cha Mapinduzi Ni Mtu Mahiri Katika Kile Anachokiamini Na Hafundishwi Punda Kumwita Farasi.