Tetesi: Huyu ndio jasusi alietumwa kuingamiza ACT Wazalendo

Subira the princess

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2018
Posts
4,555
Reaction score
4,758
Wasalaam.

CCM wanafanya mambo kisayansi zaidi na wanaangalia zaidi kesho kuliko leo. Baada ya kuona ACT watapunguza kura za mama hapo ktk uchaguzi mkuu walisuka mkakati kabambe kumshirikisha ZZK kwa kumtuma mamluki Luhanga Mpima kwenda ACT na kuwavuruga kama hivyo.

Inasemekana baada ya mission kukamilika huyu jamaa atarejea CCM na kuendelea kula bata.
Maana kwa mazingira ya kawaida haiwezekani viongozi wote wa ACT Wazalendo wasione kwamba kumteua mpina kugombea urais kulivunja katiba yao, huu ulikua mchakato wa makusudi ili mgombea wa ccm asipunguziwe kura.
 
Wasalaam.
Ccm wanafanya mambo kisayansi zaidi na wanaangalia zaidi kesho kuliko leo. Baada ya kuona ACT watapunguza kura za mama hapo ktkt uchaguzi mkuu walisuka mkakati kabambe kumshirikisha ZZK kwa kumtuma mamluki Luhanga Mpima kwenda ACT na kuwavuruga kama hivyo.

Inasemekana baada ya mission kukamilika huyu jamaa atarejea ccm na kuendelea kula bata.
Maana kwa mazingira ya kawaida haiwezekani viongozi wote wa ACT wasione kwamba kumteua mpina kugombea urais kulivunja katiba yao, huu ulikua mchakato wa makusudi ili mgombea wa ccm asipunguziwe kura.
Zitto Kabwe nuksi sana.
 
Nawaonea huruma wanaoenda kupiga kura
 
Watakaoenda kupiga kura watakua wanachama milioni 13 tu..
 
Wasalaam.
Ccm wanafanya mambo kisayansi zaidi na wanaangalia zaidi kesho kuliko leo. Baada ya kuona ACT watapunguza kura za mama hapo ktkt uchaguzi mkuu walisuka mkakati kabambe kumshirikisha ZZK kwa kumtuma mamluki Luhanga Mpima kwenda ACT na kuwavuruga kama hivyo.

Inasemekana baada ya mission kukamilika huyu jamaa atarejea ccm na kuendelea kula bata.
Maana kwa mazingira ya kawaida haiwezekani viongozi wote wa ACT wasione kwamba kumteua mpina kugombea urais kulivunja katiba yao, huu ulikua mchakato wa makusudi ili mgombea wa ccm asipunguziwe kura.
Act hawajifunzi kwa chadema, walilioa gharama and now wana start from scratch

One thing about wabongo hawajifunzi
 
W
Wasalaam.
Ccm wanafanya mambo kisayansi zaidi na wanaangalia zaidi kesho kuliko leo. Baada ya kuona ACT watapunguza kura za mama hapo ktkt uchaguzi mkuu walisuka mkakati kabambe kumshirikisha ZZK kwa kumtuma mamluki Luhanga Mpima kwenda ACT na kuwavuruga kama hivyo.

Inasemekana baada ya mission kukamilika huyu jamaa atarejea ccm na kuendelea kula bata.
Maana kwa mazingira ya kawaida haiwezekani viongozi wote wa ACT wasione kwamba kumteua mpina kugombea urais kulivunja katiba yao, huu ulikua mchakato wa makusudi ili mgombea wa ccm asipunguziwe kura.
Tetesi umezitoa wapi we kapuku, mawazo yako hayo na ndio uwezo wako ulikoishia. Sk hz kila zombie akitaka kuzusha upuuzi wake anauita tetesi.
 
Wasalaam.
Ccm wanafanya mambo kisayansi zaidi na wanaangalia zaidi kesho kuliko leo. Baada ya kuona ACT watapunguza kura za mama hapo ktkt uchaguzi mkuu walisuka mkakati kabambe kumshirikisha ZZK kwa kumtuma mamluki Luhanga Mpima kwenda ACT na kuwavuruga kama hivyo.

Inasemekana baada ya mission kukamilika huyu jamaa atarejea ccm na kuendelea kula bata.
Maana kwa mazingira ya kawaida haiwezekani viongozi wote wa ACT wasione kwamba kumteua mpina kugombea urais kulivunja katiba yao, huu ulikua mchakato wa makusudi ili mgombea wa ccm asipunguziwe kura.
Uchafu
 
Utakuwa umezaliwa juzi kama hujuhi kuwa Zitto ni kibaraka wao. Sasa utume jasusi mwingine wanini?
 
Wasalaam.
Ccm wanafanya mambo kisayansi zaidi na wanaangalia zaidi kesho kuliko leo. Baada ya kuona ACT watapunguza kura za mama hapo ktkt uchaguzi mkuu walisuka mkakati kabambe kumshirikisha ZZK kwa kumtuma mamluki Luhanga Mpima kwenda ACT na kuwavuruga kama hivyo.

Inasemekana baada ya mission kukamilika huyu jamaa atarejea ccm na kuendelea kula bata.
Maana kwa mazingira ya kawaida haiwezekani viongozi wote wa ACT wasione kwamba kumteua mpina kugombea urais kulivunja katiba yao, huu ulikua mchakato wa makusudi ili mgombea wa ccm asipunguziwe kura.
Kwa hiyo kampeni ya urais itakuwa ya wazanzibar tu!!!!
 
Back
Top Bottom