misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 17,894
- 14,783
Itakuwa wametumana 😄Kutumwa wapi wakati hao wote lao moja…!!

Kuenguliwa kwa Mpina kuna hasara kwa CCM kuliko faida. Ni kujidanganya kuwa Mpina angepunguza kura za CCM. Kama 2020 walipata 84% pamoja na upepo wote aliokuwa nao Lissu wa CHADEMA, sembuse Mpina wa ACT!Wasalaam.
Ccm wanafanya mambo kisayansi zaidi na wanaangalia zaidi kesho kuliko leo. Baada ya kuona ACT watapunguza kura za mama hapo ktkt uchaguzi mkuu walisuka mkakati kabambe kumshirikisha ZZK kwa kumtuma mamluki Luhanga Mpima kwenda ACT na kuwavuruga kama hivyo.
Inasemekana baada ya mission kukamilika huyu jamaa atarejea ccm na kuendelea kula bata.
Maana kwa mazingira ya kawaida haiwezekani viongozi wote wa ACT wasione kwamba kumteua mpina kugombea urais kulivunja katiba yao, huu ulikua mchakato wa makusudi ili mgombea wa ccm asipunguziwe kura.
Wasalaam.

Na mimi nimeelewa hivo!you are right!Kuenguliwa kwa Mpina kuna hasara kwa CCM kuliko faida. Ni kujidanganya kuwa Mpina angepunguza kura za CCM. Kama 2020 walipata 84% pamoja na upepo wote aliokuwa nao Lissu wa CHADEMA, sembuse Mpina wa ACT!
Wahuni wa CCM walimhitaji sana Mpina kama mgombea urais walau kupaka rangi kaburi la uchaguzi feki, lakini ndo hivyo wamepigwa bao na wazalendo.
Ina maana Act hakuna viongozi smart zaidi ya yule dada monalisa?Kuenguliwa kwa Mpina kuna hasara kwa CCM kuliko faida. Ni kujidanganya kuwa Mpina angepunguza kura za CCM. Kama 2020 walipata 84% pamoja na upepo wote aliokuwa nao Lissu wa CHADEMA, sembuse Mpina wa ACT!
Wahuni wa CCM walimhitaji sana Mpina kama mgombea urais walau kupaka rangi kaburi la uchaguzi feki, lakini ndo hivyo wamepigwa bao na wazalendo.
Pamoja na unyama wa CCM pale wanaposhindwa kufanikisha mambo yao kwa njia halali lakini ni wazuri kupangilia mikakati ya kupambana na washindani wao na kuwavuruga kisawasawa. Wanaodhami CCM ni chovu na haiwezi kushindana huwa wanakosea sana. CCM wanajua wakikuacha mpaka kwenye sanduku la kura utawaumiza, wanachofanya ni kukuwahi mapema sana. Wakishindwa kukuwahi ndio unaona mambo yanayoipata Chadema.Wasalaam.
Ccm wanafanya mambo kisayansi zaidi na wanaangalia zaidi kesho kuliko leo. Baada ya kuona ACT watapunguza kura za mama hapo ktkt uchaguzi mkuu walisuka mkakati kabambe kumshirikisha ZZK kwa kumtuma mamluki Luhanga Mpima kwenda ACT na kuwavuruga kama hivyo.
Inasemekana baada ya mission kukamilika huyu jamaa atarejea ccm na kuendelea kula bata.
Maana kwa mazingira ya kawaida haiwezekani viongozi wote wa ACT wasione kwamba kumteua mpina kugombea urais kulivunja katiba yao, huu ulikua mchakato wa makusudi ili mgombea wa ccm asipunguziwe kura.
Hawafiki hata milionin2Watakaoenda kupiga kura watakua wanachama milioni 13 tu..
Kwani Zito kabwe hakuhusika kwenye huo mchoro mwanzo mwisho???Wasalaam.
Ccm wanafanya mambo kisayansi zaidi na wanaangalia zaidi kesho kuliko leo. Baada ya kuona ACT watapunguza kura za mama hapo ktkt uchaguzi mkuu walisuka mkakati kabambe kumshirikisha ZZK kwa kumtuma mamluki Luhanga Mpima kwenda ACT na kuwavuruga kama hivyo.
Inasemekana baada ya mission kukamilika huyu jamaa atarejea ccm na kuendelea kula bata.
Maana kwa mazingira ya kawaida haiwezekani viongozi wote wa ACT wasione kwamba kumteua mpina kugombea urais kulivunja katiba yao, huu ulikua mchakato wa makusudi ili mgombea wa ccm asipunguziwe kura.
hahahahahaaaaAKIKANYAGA PALE WANAMUITIA KELELE ZA MWIZIIIIIII
Naskia Tume ya uchaguzi wamesema asikanyage pale

wajinga wataenda kupigaNawaonea huruma wanaoenda kupiga kura
Una uhakika 2020 walipata 84%. Au umekuja huku kama raia wa kawaida tu.Kuenguliwa kwa Mpina kuna hasara kwa CCM kuliko faida. Ni kujidanganya kuwa Mpina angepunguza kura za CCM. Kama 2020 walipata 84% pamoja na upepo wote aliokuwa nao Lissu wa CHADEMA, sembuse Mpina wa ACT!
Wahuni wa CCM walimhitaji sana Mpina kama mgombea urais walau kupaka rangi kaburi la uchaguzi feki, lakini ndo hivyo wamepigwa bao na wazalendo.
Pia ni rafiki wa jack zoka🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Zitto Kabwe nuksi sana.
Na ndiye aliyekuwa akim run wakati ule wanamrecruit akiwa bado Chadema.Pia ni rafiki wa jack zoka🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣