Tetesi: Huyu ndio jasusi alietumwa kuingamiza ACT Wazalendo

Tetesi: Huyu ndio jasusi alietumwa kuingamiza ACT Wazalendo

Wasalaam.

CCM wanafanya mambo kisayansi zaidi na wanaangalia zaidi kesho kuliko leo. Baada ya kuona ACT watapunguza kura za mama hapo ktk uchaguzi mkuu walisuka mkakati kabambe kumshirikisha ZZK kwa kumtuma mamluki Luhanga Mpima kwenda ACT na kuwavuruga kama hivyo.

Inasemekana baada ya mission kukamilika huyu jamaa atarejea CCM na kuendelea kula bata.
Maana kwa mazingira ya kawaida haiwezekani viongozi wote wa ACT Wazalendo wasione kwamba kumteua mpina kugombea urais kulivunja katiba yao, huu ulikua mchakato wa makusudi ili mgombea wa ccm asipunguziwe kura.
Alafu wanashindwa kuangalia kesho ya Tanzania kwa marefu zaidi? Acheni kuwasingizia CCM.
 
Back
Top Bottom