Tetesi: Huyu ndio jasusi alietumwa kuingamiza ACT Wazalendo

Wasalaam.

CCM wanafanya mambo kisayansi zaidi na wanaangalia zaidi kesho kuliko leo. Baada ya kuona ACT watapunguza kura za mama hapo ktk uchaguzi mkuu walisuka mkakati kabambe kumshirikisha ZZK kwa kumtuma mamluki Luhanga Mpima kwenda ACT na kuwavuruga kama hivyo.

Inasemekana baada ya mission kukamilika huyu jamaa atarejea CCM na kuendelea kula bata.
Maana kwa mazingira ya kawaida haiwezekani viongozi wote wa ACT Wazalendo wasione kwamba kumteua mpina kugombea urais kulivunja katiba yao, huu ulikua mchakato wa makusudi ili mgombea wa ccm asipunguziwe kura.
Jasusi akimaliza mission Yake arudi nyumbani kutunukiwa nishani ya Shaba
 
Wasalaam.

CCM wanafanya mambo kisayansi zaidi na wanaangalia zaidi kesho kuliko leo. Baada ya kuona ACT watapunguza kura za mama hapo ktk uchaguzi mkuu walisuka mkakati kabambe kumshirikisha ZZK kwa kumtuma mamluki Luhanga Mpima kwenda ACT na kuwavuruga kama hivyo.

Inasemekana baada ya mission kukamilika huyu jamaa atarejea CCM na kuendelea kula bata.
Maana kwa mazingira ya kawaida haiwezekani viongozi wote wa ACT Wazalendo wasione kwamba kumteua mpina kugombea urais kulivunja katiba yao, huu ulikua mchakato wa makusudi ili mgombea wa ccm asipunguziwe kura.
Ni uzembe wa kawaida wa watz walio wengi
 
Hivi inawezakaje ndugu Mpina kujiunga na chama bila kusoma Katiba yao!!?
Umeingia kwenye mtego kizembe.
Ni aibu kubwa
 
Hata huyu Polepole pia nahisi katumwa na chichiem aje kuzugazuga watu siku ziende watu warudi Ikulu Kula bata
 
Wasalaam.

CCM wanafanya mambo kisayansi zaidi na wanaangalia zaidi kesho kuliko leo. Baada ya kuona ACT watapunguza kura za mama hapo ktk uchaguzi mkuu walisuka mkakati kabambe kumshirikisha ZZK kwa kumtuma mamluki Luhanga Mpima kwenda ACT na kuwavuruga kama hivyo.

Inasemekana baada ya mission kukamilika huyu jamaa atarejea CCM na kuendelea kula bata.
Maana kwa mazingira ya kawaida haiwezekani viongozi wote wa ACT Wazalendo wasione kwamba kumteua mpina kugombea urais kulivunja katiba yao, huu ulikua mchakato wa makusudi ili mgombea wa ccm asipunguziwe kura.
Hapana nakupinga. Mpina hajatumwa na CCM. Mtu pekee ambaye kaonyesha kulipa fadhila kwa wema aliotendewa na mama Samia ni Tundu Lissu. Kukataa kushiriki uchaguzi ni ujumbe tosha wa Lissu kuwa hataki kum-challenge mama kwenye uchaguzi. Shukrani kwa Lissu.
 
Ndio uwezo wako wa kufikiri huu ckulaamu au ndo chawa wa mama
 
Wasalaam.

CCM wanafanya mambo kisayansi zaidi na wanaangalia zaidi kesho kuliko leo. Baada ya kuona ACT watapunguza kura za mama hapo ktk uchaguzi mkuu walisuka mkakati kabambe kumshirikisha ZZK kwa kumtuma mamluki Luhanga Mpima kwenda ACT na kuwavuruga kama hivyo.

Inasemekana baada ya mission kukamilika huyu jamaa atarejea CCM na kuendelea kula bata.
Maana kwa mazingira ya kawaida haiwezekani viongozi wote wa ACT Wazalendo wasione kwamba kumteua mpina kugombea urais kulivunja katiba yao, huu ulikua mchakato wa makusudi ili mgombea wa ccm asipunguziwe kura.
Zitto ni afisa nusukipenyo.
 
Wangepunguza kura kwa mgombea yupi? Dorothy Semu? 😀🤣, Chadema pekee ndo Chama chenye uwezo wa kuibabua ccm, katika ground ya free and fair election
 
Wasalaam.

CCM wanafanya mambo kisayansi zaidi na wanaangalia zaidi kesho kuliko leo. Baada ya kuona ACT watapunguza kura za mama hapo ktk uchaguzi mkuu walisuka mkakati kabambe kumshirikisha ZZK kwa kumtuma mamluki Luhanga Mpima kwenda ACT na kuwavuruga kama hivyo.

Inasemekana baada ya mission kukamilika huyu jamaa atarejea CCM na kuendelea kula bata.
Maana kwa mazingira ya kawaida haiwezekani viongozi wote wa ACT Wazalendo wasione kwamba kumteua mpina kugombea urais kulivunja katiba yao, huu ulikua mchakato wa makusudi ili mgombea wa ccm asipunguziwe kura.
Upo sahihi kabisa. CCM imekuwa ikifanya hivyo mara nyingi. Na hiyo ni mbinu namba mbili kati mbinu 1000 ambazo CCM inazo. Mwaka 2015 ilimtuma Lowassa Chadema akagombee Urais huko. Baada ya Uchaguzi Mkuu akarudi CCM na ushahidi upo. Mwaka 2020 ilimtuma Bernard Kamilius Membe aende ACT WAZALENDO akagombee Urais (Chadema wakati huo ilikuwa dhoofu bin hali) baadae akarudi CCM.
Mwaka huu CCM imefanya mambo makubwa yafuatayo yakiwa ni vipera vya mbinu namba mbili ya CCM kati mbinu 1000 ilizonazo. Nitafafanua;
i) Kwanza ilihakikisha Lissu anaaminiwa na Wana Chadema kuliko Mbowe au kitu kingine chochote ndani ya Chadema na upinzani kwa ujumla. ( Kumbuka Lissu ni project)!
ii) Pili kuhakikisha Lissu anakuwa Mwenyekiti wa Chadema Taifa kwa kumuondoa Mbowe.
iii) Tatu baada ya Lissu kuwa Mwenyekiti wa Chadema Taifa, CCM ilimpa agenda Lissu ya No Reforms, No Election ili kuwaweka sawa Chadema na wafuasi wao wasishiriki Uchaguzi Mkuu ili CCM ipate ushindi wa kishindo kwenye Udiwani, Ubunge na Urais!
iv) Nne ili Lissu aaminike pasi na shaka, CCM na Lissu wakatengeneza zengwe la "Kesi ya Uhaini" ili Lissu akae selo ionekane sio yeye bali ni Serikali ndio imemweka ndani na baada ya Uchaguzi Mkuu ataachiwa! Hapo uchaguzi mwingine ni mwaka 2030. Wakati huo yeye na familia yake wakila maisha kwa miaka mitano!
 
Back
Top Bottom