Tetesi: Huyu ndio jasusi alietumwa kuingamiza ACT Wazalendo

Kuenguliwa kwa Mpina kuna hasara kwa CCM kuliko faida. Ni kujidanganya kuwa Mpina angepunguza kura za CCM. Kama 2020 walipata 84% pamoja na upepo wote aliokuwa nao Lissu wa CHADEMA, sembuse Mpina wa ACT!

Wahuni wa CCM walimhitaji sana Mpina kama mgombea urais walau kupaka rangi kaburi la uchaguzi feki, lakini ndo hivyo wamepigwa bao na wazalendo.
 
 
Na mimi nimeelewa hivo!you are right!
 
Ina maana Act hakuna viongozi smart zaidi ya yule dada monalisa?
 
Jioni kabisa hawa wanetu wa kulinda kura wataanza kuimba No reforms No election
 
Pamoja na unyama wa CCM pale wanaposhindwa kufanikisha mambo yao kwa njia halali lakini ni wazuri kupangilia mikakati ya kupambana na washindani wao na kuwavuruga kisawasawa. Wanaodhami CCM ni chovu na haiwezi kushindana huwa wanakosea sana. CCM wanajua wakikuacha mpaka kwenye sanduku la kura utawaumiza, wanachofanya ni kukuwahi mapema sana. Wakishindwa kukuwahi ndio unaona mambo yanayoipata Chadema.
 
Kwani Zito kabwe hakuhusika kwenye huo mchoro mwanzo mwisho???
 
Naskia Tume ya uchaguzi wamesema asikanyage pale

Ni kweli, wamesema asikanyage pale na akikaidi atapigwa virungu. Maana watu hawasikii wakiambiwa no reforms wanadhani ni utani.
 
Naskia Tume ya uchaguzi wamesema asikanyage pale

Ni kweli, wamesema asikanyage pale na akikaidi atapigwa virungu. Maana watu hawasikii wakiambiwa no reforms wanadhani ni utani.
 
wengi wa vijana wa chadema wana matatizo ya afya ya akili
 
Una uhakika 2020 walipata 84%. Au umekuja huku kama raia wa kawaida tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…