Mhafidhina255
New Member
- May 24, 2021
- 3
- 1
Jasusi akimaliza mission Yake arudi nyumbani kutunukiwa nishani ya ShabaWasalaam.
CCM wanafanya mambo kisayansi zaidi na wanaangalia zaidi kesho kuliko leo. Baada ya kuona ACT watapunguza kura za mama hapo ktk uchaguzi mkuu walisuka mkakati kabambe kumshirikisha ZZK kwa kumtuma mamluki Luhanga Mpima kwenda ACT na kuwavuruga kama hivyo.
Inasemekana baada ya mission kukamilika huyu jamaa atarejea CCM na kuendelea kula bata.
Maana kwa mazingira ya kawaida haiwezekani viongozi wote wa ACT Wazalendo wasione kwamba kumteua mpina kugombea urais kulivunja katiba yao, huu ulikua mchakato wa makusudi ili mgombea wa ccm asipunguziwe kura.
wengi wa vijana wa chadema wana matatizo ya afya ya akili
Ni uzembe wa kawaida wa watz walio wengiWasalaam.
CCM wanafanya mambo kisayansi zaidi na wanaangalia zaidi kesho kuliko leo. Baada ya kuona ACT watapunguza kura za mama hapo ktk uchaguzi mkuu walisuka mkakati kabambe kumshirikisha ZZK kwa kumtuma mamluki Luhanga Mpima kwenda ACT na kuwavuruga kama hivyo.
Inasemekana baada ya mission kukamilika huyu jamaa atarejea CCM na kuendelea kula bata.
Maana kwa mazingira ya kawaida haiwezekani viongozi wote wa ACT Wazalendo wasione kwamba kumteua mpina kugombea urais kulivunja katiba yao, huu ulikua mchakato wa makusudi ili mgombea wa ccm asipunguziwe kura.
Hata wewe utapiga, na tayari umeshapiga bila kupenda🤣🤣Watakaoenda kupiga kura watakua wanachama milioni 13 tu..
Hatimaye wa bara tumekuwa watumwa rasmiKwa hiyo kampeni ya urais itakuwa ya wazanzibar tu!!!!
Hapana nakupinga. Mpina hajatumwa na CCM. Mtu pekee ambaye kaonyesha kulipa fadhila kwa wema aliotendewa na mama Samia ni Tundu Lissu. Kukataa kushiriki uchaguzi ni ujumbe tosha wa Lissu kuwa hataki kum-challenge mama kwenye uchaguzi. Shukrani kwa Lissu.Wasalaam.
CCM wanafanya mambo kisayansi zaidi na wanaangalia zaidi kesho kuliko leo. Baada ya kuona ACT watapunguza kura za mama hapo ktk uchaguzi mkuu walisuka mkakati kabambe kumshirikisha ZZK kwa kumtuma mamluki Luhanga Mpima kwenda ACT na kuwavuruga kama hivyo.
Inasemekana baada ya mission kukamilika huyu jamaa atarejea CCM na kuendelea kula bata.
Maana kwa mazingira ya kawaida haiwezekani viongozi wote wa ACT Wazalendo wasione kwamba kumteua mpina kugombea urais kulivunja katiba yao, huu ulikua mchakato wa makusudi ili mgombea wa ccm asipunguziwe kura.
Hawawezi mkuu tatizo ni ZZK yule ni mamluki wa ccm kama alivyokua mbowe, chadema walikujastuka jua lime zama.Jioni kabisa hawa wanetu wa kulinda kura wataanza kuimba No reforms No election
Ndio uwezo wako wa kufikiri huu ckulaamu au ndo chawa wa mamaHapana nakupinga. Mpina hajatumwa na CCM. Mtu pekee ambaye kaonyesha kulipa fadhila kwa wema aliotendewa na mama Samia ni Tundu Lissu. Kukataa kushiriki uchaguzi ni ujumbe tosha wa Lissu kuwa hataki kum-challenge mama kwenye uchaguzi. Shukrani kwa Lissu.
Mbona nimekuwa nikiamini wewe ni mtu mwenye akili timamu???!!Ndio uwezo wako wa kufikiri huu ckulaamu au ndo chawa wa mama
Zitto ni afisa nusukipenyo.Wasalaam.
CCM wanafanya mambo kisayansi zaidi na wanaangalia zaidi kesho kuliko leo. Baada ya kuona ACT watapunguza kura za mama hapo ktk uchaguzi mkuu walisuka mkakati kabambe kumshirikisha ZZK kwa kumtuma mamluki Luhanga Mpima kwenda ACT na kuwavuruga kama hivyo.
Inasemekana baada ya mission kukamilika huyu jamaa atarejea CCM na kuendelea kula bata.
Maana kwa mazingira ya kawaida haiwezekani viongozi wote wa ACT Wazalendo wasione kwamba kumteua mpina kugombea urais kulivunja katiba yao, huu ulikua mchakato wa makusudi ili mgombea wa ccm asipunguziwe kura.
Upo sahihi kabisa. CCM imekuwa ikifanya hivyo mara nyingi. Na hiyo ni mbinu namba mbili kati mbinu 1000 ambazo CCM inazo. Mwaka 2015 ilimtuma Lowassa Chadema akagombee Urais huko. Baada ya Uchaguzi Mkuu akarudi CCM na ushahidi upo. Mwaka 2020 ilimtuma Bernard Kamilius Membe aende ACT WAZALENDO akagombee Urais (Chadema wakati huo ilikuwa dhoofu bin hali) baadae akarudi CCM.Wasalaam.