Huyu ndio mtoto mwenye akili nyingi kuliko wote Tanzania 2024

Anaulizwa maswali ambayo ana majibu tayari...

Anyway kwa umri wake bado uwezo wake ni mkubwa...
 
Hutokeaga wengi wa hivyo, ila wakikuwa wanakuwa wa kawaida.
Miaka ya 90's aliibuka dogo mmoja akawa anatoa mihadhara chuo kikuu, anajibu maswali ya Ma-profesa, anachora na kuchambua mfumo wa utenda kazi wa moyo, nk. Lakini sijui alipotelea wapi...!!!
 
Huyo mtoto hana akili za kuwazidi watoto wote kama unavyotaka kutuaminisha wewe dada muuza simu used.

Mtoto yoyote mdogo ubongo wake unakuwa sawa na "empty cd" au cd tupu kitu chochote kile unachotaka kukipandiza kwenye ubongo wake ni rahisi kuingia na kukaa kumbuka mtoto mdogo hana stress wala msongo wa mawazo kama mtu mzima.

Ubongo wa mwanadamu yoyote yule unafanya kazi kwa mtindo wa "repeatitions" au marudio ili ujue huyu ni simba lazima uwe umewahi kumuona sehemu either umewahi kumuona live au kwenye picha au kideoni. Ubongo hauna majibu kwa maswali mapya au kwa jambo jipya ambalo hujawahi kuliona,kulifanya au kulisikia.

Huyo mtoto hivo vitu vyote alifundishwa na kukaririshwa mara kwa mara mpaka vikaa kichwani ukimuuliza swali lolote nje ya alichokaririshwa hawezi kujibu.

By the way kila mtu ana akili hata chizi ana akili ndio ana akili.
 

Hapo ndo uwa mnapotea
 
Hivi mnapataga wapi vipimo vya kujua kwenye nyanja fulani mtu fulani ni zaidi ya wote?
 
Hutu twingine ndo tujini twa ardhini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…