Manyahe
JF-Expert Member
- Mar 17, 2023
- 487
- 883
HaswaaaMbona kama ni script tu hiyo 😎
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HaswaaaMbona kama ni script tu hiyo 😎
Sinema hizi ...
Huyu mtoto ukimsikiliza ana uwezo mkubwa sana wa kujieleza na kufanya hesabu.
Anajibu maswali ambayo hata wewe huwezi kuyajibu hapo ulipo saivi
View attachment 3159995
Ee Mungu tunakuomba huyu mtoto asiharibiwe na mfumo wa elimu yetu.
Mtumie huyu mtoto kuonyesha ukuu wako.
Amen na Jumapili njema
WE PROTECT THIS YOUNG ANGEL BY BLOOD OF JESUS. AMEN
Yule niwa kiume anaetaja majina ya mawaziriNilishawahi kukasikia tangu mwaka Juzi, sijui ni ka wapi haka katoto! Kalikuwa kanataja mpaka majina ya marais na Mawaziri!
Hutu twingine ndo tujini twa ardhiniHuyu mtoto ukimsikiliza ana uwezo mkubwa sana wa kujieleza na kufanya hesabu.