Akili ni nini!?
Je kuhifadhi kwa wepesi, kuhifadhi jambo kwa muda mrefu, kuwa na kumbukumbu nzuri? Ama uwezo wa kutatua mambo katika namna tofauti tofauti.
Hapo dogo kaonesha ana uwezo wa kumeza, ila sio ana akili nyingi.
Tukifundishwa 1 jumlisha 1 ni 2, 3+2 ni 5 na tukafundishwa imepatiknaje kisha tukapewa swali maandazi ma5 ukipewa na vitumbua vitatu na chapati sifuri, utakuwa na vitafunwa vingapi.
Ule uwezo wa kuchanganua hilo swali, kujua linahitaji kujumlisha japo hakuna sehemu imesemwa jumlisha, kwangu mimi huyu ndio mwenye akili.
Na si lazima iwe kwenye hesabu tu, hata mazingira
Ewa sasa hapo 1 jumlisha 1 kasema 2, naamini kakariri, akiuliza 7+3, 5+2,4+5, n.k hapo sasa angeluwa katumia sehemu nyimgine ya ubongo nje ya kumbukumbu