Ngai Moko
JF-Expert Member
- Mar 21, 2016
- 1,301
- 1,738
Haya kila la kheri nikutakie uchaguzi mwema najua ni wa huru na wa sifa tajwa, ila hiyo kaz ya kuchambua wenye sifa Tume ya Taifa ya Uchaguz wanauzoefu nayo ungewashirikisha maana watatoa mpaka asilimia za hao washiriki huko PM,si mpaka kwanza nimalize kusoma pm? nipo nina short list, kwanza nipunguze wavulana atlest wabaki wanaume