McMahoon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 1,353
- 1,639
Umenikumbusha S wangu. Duh. Type hii ya wanawake. Kiufupi wana wivu sana kupitiliza. Akipiga simu yako ikiwa busy utaulizwa maswali km 100 hivi na kuchuniwa juu.NILISHA KUA NA WANAWAKE WA TYPE YAKO.... WASUMBUFU SANA NYIE... HAM FAI KUOLEWA SIFA ZENU NI HIZI:
1. Mna mdomo sana nyie/ ndani haku kaliki nima kelele na mizozano ya vitu vidogo. Mna nuna naku vuta mdomo siku nzima.
2. Hamjui kutunza siri za mwanaume... Mna ropoka sana nje.
3. Mna kiburi nyie....mna penda kuwa test wanaume kuona ata fanya nini..
4. Waongo/ pretenders wakubwa... Una weza kupewa hela uka ikataa kujifanya wewe sio mtu hela eti una jitegemea mwenyewe huku ukitaka kumuaminisha mwanaume kua wewe sio mtu hela hela... Kumbe una kopa nje.
5. Mmekaa kiuchuguzi/ kudadisi /kufatilia nyendo za mwanaume... Unataka kujua anaenda wapi? Anaongea na nani? Wakati mwingine hata marafiki zake huwa taki/kama sio kuwa ponda.
Aisee nina weza kumaliza siku nzima nawa chambu wanawake wa style yako...
In short to me wewe sio WIFE MATERIAL huna sifa hio... Your are a PROBLEM to any man...
Ipite siku moja haujamtakia salamu. Utajuta kwann upo naye kwenye mahusiano.