Huyu ndio mwanaume ninayemtaka, sitaki kuumiza moyo wangu una thamani

Huyu ndio mwanaume ninayemtaka, sitaki kuumiza moyo wangu una thamani

NILISHA KUA NA WANAWAKE WA TYPE YAKO.... WASUMBUFU SANA NYIE... HAM FAI KUOLEWA SIFA ZENU NI HIZI:

1. Mna mdomo sana nyie/ ndani haku kaliki nima kelele na mizozano ya vitu vidogo. Mna nuna naku vuta mdomo siku nzima.

2. Hamjui kutunza siri za mwanaume... Mna ropoka sana nje.

3. Mna kiburi nyie....mna penda kuwa test wanaume kuona ata fanya nini..

4. Waongo/ pretenders wakubwa... Una weza kupewa hela uka ikataa kujifanya wewe sio mtu hela eti una jitegemea mwenyewe huku ukitaka kumuaminisha mwanaume kua wewe sio mtu hela hela... Kumbe una kopa nje.

5. Mmekaa kiuchuguzi/ kudadisi /kufatilia nyendo za mwanaume... Unataka kujua anaenda wapi? Anaongea na nani? Wakati mwingine hata marafiki zake huwa taki/kama sio kuwa ponda.

Aisee nina weza kumaliza siku nzima nawa chambu wanawake wa style yako...

In short to me wewe sio WIFE MATERIAL huna sifa hio... Your are a PROBLEM to any man...
Umenikumbusha S wangu. Duh. Type hii ya wanawake. Kiufupi wana wivu sana kupitiliza. Akipiga simu yako ikiwa busy utaulizwa maswali km 100 hivi na kuchuniwa juu.
Ipite siku moja haujamtakia salamu. Utajuta kwann upo naye kwenye mahusiano.
 
Daaah... Ninejikuta naguna kwa nguvu....
Tuletee mrejesho mamy
 
Kila la heri binti.Nimelipenda tangazo lako na hata wewe mwenyewe, ingawa sijakuona.Nadhani tunge match, kama ningekuwa sijaoa na ingekuwa umeokoka.Dah,missed chance.Even though good luck.
thanks dia atapatikana kama wewe
 
Umenikumbusha S wangu. Duh. Type hii ya wanawake. Kiufupi wana wivu sana kupitiliza. Akipiga simu yako ikiwa busy utaulizwa maswali km 100 hivi na kuchuniwa juu.
Ipite siku moja haujamtakia salamu. Utajuta kwann upo naye kwenye mahusiano.
kuna vitu naviwaza zaid ya kusubir sim ya mwanaume
 
Nina vigezo vyote kasoro kigezo kimoja cha kucha,kucha yangu moja imetoka..
 
Siku ukiolewa nitakusaidia maturubai na viti vya plastic bure.

[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Unadhani kuolewa ni mchezo, kwanza mwanamke mzuri ni yule ambae ameshaolewa na kudumu kwenye ndoa. Kuolewa ni suala moja na kudumu kwenye ndoa ni suala lingine. Kiukweli bila kuwa mnafiki kwa nilivyokusoma sio aina ya mwanamke wa kudumu kwenye ndoa; acha kutumia kigezo cha msululu wa wanaume wanaokufuata inbox kama sababu ya wewe kutokuwa na kasoro unazoambiwa na wadau hapa.

Jirekebishe,
 
kuna vitu naviwaza zaid ya kusubir sim ya mwanaume
Kila mtu anahitaji kuwa na mtu anayempenda. Hebu acha mapenzi yaje yenyewe. Na siyo kila vigezo ulivyoandika vitatimia.
Kuna sentensi mmoja uliyoandika ''ni aibu kubwa kwa mwanamke kumtaka mwanaume amuoe'' nimeparaphrase lkn umeiandika.
"Mwenye maamuzi ya kuoa ni mwanaume, mwanamke ni msababishi wa kuwepo au kutokuwepo kwa ndoa'' Una 30yrs lkn vigezo ulivyoviweka ni vya kuombea kazi.
Mwisho wa siku pamoja na vigezo ulivyoviweka unajikuta single mom, unaishi na mtoto au watoto. Unalala na kuamka pekee yako. Hapo ndipo huwa nachoka sasa.
 
Isaya. 4:1 "Na siku hiyo wanawake Saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, tutakula, chakula chetu, na kuvaa nguo zetu lakini tuitwe kwa jina lako tu, utuondolee aibu yetu" Bwana Yesu asifiwe sana!
 
Isaya. 4:1 "Na siku hiyo wanawake Saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, tutakula, chakula chetu, na kuvaa nguo zetu lakini tuitwe kwa jina lako tu, utuondolee aibu yetu" Bwana Yesu asifiwe sana!
Mkuu umenifurahisha sana.huu mstari unanitia moyo Cyo kawaida
 
Back
Top Bottom