Nonsense....
Kafa,nendeni nae
Mnazidi kutusukumizia his failed ideoogies....Tupo na mtu mpya,huyo kafa na yake,geez!
Mnaoenda uwanja wa taifa kumuaga mpendwa wetu John Pombe Magufuli kwa sasa uwanja umejaaa kabisa, foleni ipo vingunguti na ma gate yote yamefungwa. Mngevumilia nyumbani kidogo watu wapungueSeriously, you need some reality check.
kwani mnaumia sana??Mbn mnatumia Nguvu kubwa ?
The passed one he had did nothing the issue of an assassination attempt it unforgettably , Lissu is prophet Alive.
This nigga is deaddddddd
Deal with it
Nachojua atleast 50% of this country ambao ni in favor with opposition dont like him
Hii nchi now ni ya mama,now follow democratic liberal order,hutaki nenda North Korea!
[emoji16][emoji16][emoji16]mtu anaonea wivu mpaka maiti kuagwa??Wanaonea wivu msiba wa rais John Pombe Magufuli hadi wanatamani angekua mgombea wao
Lala salama Mwamba[emoji174][emoji174][emoji174][emoji174]
Ukisikia laana ndio hiyo[emoji16][emoji16][emoji16]mtu anaonea wivu mpaka maiti kuagwa??
Ha ha haAcha kupost ujinga naomba Moderator mumpe life ban huyu mama D anamchosha the late Jpm kwa kumpa sifa za uongo.
Ndio hapo unapofeli ndugu yangu
Watu wenye opposition sentiments hua wapo kwenye spectrum.....kutoka moderates,centre na extremists akama akina Tundu
Spectrum nzima ni 50% ya Watanzania wote ni opposition
Kuandamana inataka Extremists kama akina Tundu,ni wachache....ila regardless wote kwa ujumla ni opposition leaning na effect yake unaipata kwenye kura
Sasa basi,mtu aje kwa mazishi au asije,au aandamane au asiandamane huwezi determine his position kwa kuangalia extremism measures kama maandamano.....
Effect yake utaipata kwenye democratic process kama uchaguzi,pale ni spectrum yote wanakuja
Mataga mtumie akili,mnafeli mnoo
Cha kujua ni kwamba nchi hii kutoka 43-50% ya Watanzania wana opposition sentiments au leanings.....
Chunga sana unachoongea
Why most of people have pleasure?Hahaa 43-50% ya Watanzania wana opposition sentiments au leanings.....π π π π pole sana
Hamjui ndio maana mnafeli. Tumieni basi hata ile ruzuku kidogo mfanye utafiti!? Yaani mkiendelea na haya mawazo ya kusadikika hamtokaa mfanikiwe
Tumieni ruzuku kuimarisha chama mashinani, mkizikula wenyewe halafu mnasubiri mwaka wa uchaguzi mfanye kampeni mtaendelea kulalamika hadi kiama
Wenzenu wanachama wao wanaweza kukosa kadi ya benki lakini kamwe hawakosi kadi ya chama, tena wanalipia kila mwaka. Amkeni tujenge nchi acheni kufurahia kifo cha John Pombe Magufuli sababu CCM sio mtu mmoja CCM ni taasisi kubwaaa
Naongea hivi kama mtanzania ninayeheshimu demokrasia na nakua faida ya vyama pinzani pia. Ila nikuambie ukweli unaouma sana..... tanzania hakuna vyama pinzani ila kuna saccos kwa maslahi ya wachache
Alale salama kipenzi chetu John Pombe Magufuli π
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan πΉπΏπ₯
Those who participated in assassination attempt .. must Face fate consecutivelyUnaumia eeeeeeπ£π£π£π£π£π£
Why most of people have pleasure?
Most of people ππππ Unachekesha wewe!
Sema watu wachache nyuma ya key board kwa msaada wa mitandao kule twita na jf
Wananchi 90% walimkubali mwamba na wanaumia sababu wamepoteza.... ila wanajuΓ pia serikali aliyoiacha ipo imara zaidi ya Numbers don't lie dsm Kuna watu Mil7+ lakin idadi ya watu Jana haikufika hata lakimoja ...!!!!
Numbers don't lie dsm Kuna watu Mil7+ lakin idadi ya watu Jana haikufika hata lakimoja ...!!!!Most of people ππππ Unachekesha wewe!
Sema watu wachache nyuma ya key board kwa msaada wa mitandao kule twita na jf
Wananchi 90% walimkubali mwamba na wanaumia sababu wamepoteza.... ila wanajuΓ pia serikali aliyoiacha ipo imara zaidi ya jana
Magufuli alikua CCM na CCM ndio ilimtuma MagufuliStill naona hujui tofauti kati ya MAGUFULI na CCM
Ni vitu viwili tofauti
MAGUFULI kafa,keshaondoka,kaputiiii
Ambacho hatukitaki ni MAGUFULI na wala sio CCM....CCM ipo na inaendelea....We want that
Adui yetu ni MAGUFULI,ekshakufa,end of story!
Mwambie rais wako afe watafika elfu2ππππNumbers don't lie dsm Kuna watu Mil7+ lakin idadi ya watu Jana haikufika hata lakimoja ...!!!!
I get anxiousMwambie rais wako afe watafika elfu2ππππ
Maandamano tuu mlijificha uvunguniπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ