Huyu ndio surprise au bonus artist anaewakilisha bongo

Maana ya Kiba kuwa surprise ni kwamba hata kama angetajwa hasinge punguza au kuongesa chochote mbele ya simba na wakenya kwa ujumla
 
Povu vepee manager polee huu mchezo hauitaji hasira
haipendez , imagine umemualika bf wako home afu dadako ndo anakazana kuongea nae ,, sisi mafuturistic tumeona kuna mtu katembelea nyota ya mwenzie hapo
 
Kwa hiyo kwenye list alikuwa diamond peke yake? Hapakuwa na wasanii wengine? Kujikweza kwenu kunakera
 
Hahahaaaa halafu kiba ye hajali sasa watu washaanza Mara huyu kalipw mil 5 huyu mil 3 hiyo yote mapovuuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Milion 5? Ya kenya au ya tz? Maana huyu mtandale alisemaga dau lake ni kubwa kweli
 
Watu wanaomponda Diamond kwenye hii game ya Bongo Fleva ni vipofu au tuseme hawana shukrani. Huyu mjomba kaichukua hii Bongo Fleva to another level sasa imepata thamani mnampika majungu. Hawa wakina Ali Kiba na wengine wote walikuwa wanaimba kupata milupo na kuganga njaa kwa wahindi. Kaja jamaa kuonyesha njia ya kupiga hela watu wanampika majungu, watanzania sijui tupoje!!!
 
Weka kwanza picha yako harisi...maan naona umeweka picha ya ndugu yako ndo unajinasibu ni wew....acha ukahaba wew kitoto
 
Ni sawa kwenye show ya Fiesta watangazwe wasanii wote halafu siku ya show apande BEST NASO ghafla halafu waseme eti hiyo ni suprise.... surprise gani hiyo? Surprise inabidi msanii anayepanda awe mkali kuliko wale wote kama ilivyotokea kwa kiba kule kwenye fiesta, that was a real surprise. Hata Kenya waandaji waliamua kuwapa burudani ya ukweli kwa kumpandisha kiba kwa surprise maana ndio aliyekuwa anakubalika kuliko wote.... Surprise sio kitu kidogo
 
Ni sawa na mkeo ukasema una msurprise halafu unampa matambara wakikuchukulia wajanja usilie..kuna haja watu wakatambua hili neno "surprise"linamaanisha nini
 
Ninafikiri alikiba kwa kujaza kumbi kwenye shows tangu mwaka 2015 amekuwa akijaza mno hasa shows za Kenya na Mombasa na hilo halina ubishi.
Ukibisha ingia kwenye mitandao tafuta matukio makuu matano yaliyokusanya watu wengi zaidi nchini Kenya
Ambapo nakumbuka tukio la NNE ni show ya alikiba alopiga pale machakos ..
 
Kutumika kwa jina la diamond vibaya?
Kwani ile show walikuwepo wasanii wangapi? Na ilikuwa show ya msanii au ilikuwa ni mkutano wa kisiasa tu ndo wakachukuliwa akina alikiba kuchangamsha????
Na Kama ilikuwa show ya diamond peke yake mbona hakukuwa na promotion ya show Kama ilivyo kwa shows nyingine?
Si kwa kupaniki huku mmmgjhhh
Povu la sabuni ya unga [emoji84][emoji84][emoji84][emoji84][emoji84]
 
Kanumba na Ray walikua hivi hivi. Wale mashabiki uchwara waliokua wananunua cd za Ray ili kumkomoa Kanumba siku hizi hata bei hawaulizi..

Ali Kiba ajitegemee asipende kutembelea nyota ya Diamond.
 
KIBA ANAKUJA NA REMIX YA AJE THEN INAFUATIA INTERNATIONAL COLLABO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…