Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Uongozi wa diamond umepanic wanatokwa povu[emoji36] ambalo halina maana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haipendez , imagine umemualika bf wako home afu dadako ndo anakazana kuongea nae ,, sisi mafuturistic tumeona kuna mtu katembelea nyota ya mwenzie hapoPovu vepee manager polee huu mchezo hauitaji hasira
Kwa hiyo kwenye list alikuwa diamond peke yake? Hapakuwa na wasanii wengine? Kujikweza kwenu kunakeraKwan umeambiwa diamond hatoperform mtv mama tatizo nyie tema kibakuli mnaona ajabu kuperform mtv wakati mond huu n mwaka wake wa3 hatakuwa ana perform
Alicho maindi meneja n kutumika kwa jina la diamond kuvuta watu halafu kikaja kisanii kingine nacho ku perform
Milion 5? Ya kenya au ya tz? Maana huyu mtandale alisemaga dau lake ni kubwa kweliHahahaaaa halafu kiba ye hajali sasa watu washaanza Mara huyu kalipw mil 5 huyu mil 3 hiyo yote mapovuuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Weka kwanza picha yako harisi...maan naona umeweka picha ya ndugu yako ndo unajinasibu ni wew....acha ukahaba wew kitotoKwanza Mimi ni mwanamke na kuelezea hisia zangu kwa mwanaume Kama king kiba sio dhambi , kwanza ni handsome, pili sauti yake inanikosha mpaka kumoyo tatu anaujua mziki, mashairi yenye maana . ambaye hajui mziki mzuri ndo ambaye anauchukia mziki wa ally kiba au ni bendera fuata upepo au chuki binafsi kwa kingi.. Haya sasa narudi kwako wewe unawezaje mwanaume kuelezea hisia zako kwa mwanaume mwenzako??(domo) hahaaa mchicha mwiba at work [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Ni sawa kwenye show ya Fiesta watangazwe wasanii wote halafu siku ya show apande BEST NASO ghafla halafu waseme eti hiyo ni suprise.... surprise gani hiyo? Surprise inabidi msanii anayepanda awe mkali kuliko wale wote kama ilivyotokea kwa kiba kule kwenye fiesta, that was a real surprise. Hata Kenya waandaji waliamua kuwapa burudani ya ukweli kwa kumpandisha kiba kwa surprise maana ndio aliyekuwa anakubalika kuliko wote.... Surprise sio kitu kidogoMimi nijuavyo siku zote promota au anae andaa matamasha hawezi mchukua msanii na kutumbuiza kama Suprise kwa mashabiki bila kuwa hana uwezo sababu ile maana nzima ya "surprise" unakuwa umeiharibu ila sishangai pia kwa hawa wasanii kupeana madongo mana ndo washabiki wao wanapenda kusikia hivyo
Ni kweli mkuu, kwa Mondi hiyo 5m cause alienda na 20 people, hiyo 3m ya Kiba ni watu 10.... kama unajua hesabu hapo ushajua nani alipata pesa ndefuNasikia walimchukua Almasi kwa 5m huku Seven akikubaliana kumtoa Kiba kwa 3m. Eti ni kweli mkuu?
Ni sawa na mkeo ukasema una msurprise halafu unampa matambara wakikuchukulia wajanja usilie..kuna haja watu wakatambua hili neno "surprise"linamaanisha niniNi sawa kwenye show ya Fiesta watangazwe wasanii wote halafu siku ya show apande BEST NASO ghafla halafu waseme eti hiyo ni suprise.... surprise gani hiyo? Surprise inabidi msanii anayepanda awe mkali kuliko wale wote kama ilivyotokea kwa kiba kule kwenye fiesta, that was a real surprise. Hata Kenya waandaji waliamua kuwapa burudani ya ukweli kwa kumpandisha kiba kwa surprise maana ndio aliyekuwa anakubalika kuliko wote.... Surprise sio kitu kidogo
Weka kwanza picha yako harisi...maan naona umeweka picha ya ndugu yako ndo unajinasibu ni wew....acha ukahaba wew kitoto