Baltazar Engongo
JF-Expert Member
- May 6, 2024
- 604
- 932
Anavyoandika unaweza hisi Tanzania tupo vizuri kwerikweriiii. Tumeipita Rwanda lakini sio kivile, umaskini unakaribiana sanaAchana na habari za social media propaganda za PK sicho kinacho jadiliwa hapa.
Mmepishana nini hiyo GDP per capita na kanchi ka hovyo kama Rwanda wakati wote mnarank huko huko kwenye 1000
Hiyo income inequality unayosema ni ndogo kwa hapa Tanzania umeipima kwa vipimo gani ?
Sasa hiyo 78 na 83 literacy rate ni nini mlicho tofautiana sana usiitizame tu kwa ukubwa wa eneo bali na resources za kuwawezesha watu wenu je, Tanzania inafanana na Rwanda ?
Tanzania ni middle lower income kwa maana Gdp per capita yetu ni zaidi ya $1200Achana na habari za social media propaganda za PK sicho kinacho jadiliwa hapa.
Mmepishana nini hiyo GDP per capita na kanchi ka hovyo kama Rwanda wakati wote mnarank huko huko kwenye 1000
Hata hujui Gini coefficient ni nini bado unabwabwaja tu, Gini inapima Pato la watu wenye Nacho kama kina Bakhresa, MO, mawaziri, maraisi etc na pato la wasio nacho kama Vile Walimu, Ma house girl, vibarua wa Viwanda etc kutengeneza hio coefficient na kuonesha gape la walio nacho na wasio nacho.Hiyo income inequality unayosema ni ndogo kwa hapa Tanzania umeipima kwa vipimo gani ?
Sasa hiyo 78 na 83 literacy rate ni nini mlicho tofautiana sana usiitizame tu kwa ukubwa wa eneo bali na resources za kuwawezesha watu wenu je, Tanzania inafanana na Rwanda ?
Toa tofauti ya kagame na nyie manyang'au acha porojoCCM wana matatizo yao ila hawajafikia level ya Kagame, mfano Kigali hapo wapo tu 1.7M na dar ni kama mara 5 ya Kigali population ila Kigali ina slums nyingi zaidi kuliko dar, vinyumba vya udongo kibao, kifupi Rwanda Utajiri wao wanao watu wachache na Nchi nzima wapo kwenye Umasikini mkubwa.
Sisi tumewapita Rwanda Pato la mtu mmoja mmoja japo tupo wengi zaidi na hatumuibii mtu Rasilimali zake, kama ni ufisadi ni hela za humu humu ndani.
Tanzania ni 42.9% source world bankHujatoa ushahidi umeandika maneno matupu. Ushahidi ulipaswa kumuwekea na data kutoka credible source ili kuipa uzito ulichoandika.
Ukweli ni kuwa Tanzania Ina afadhali kuliko Rwanda, lakini Hali zao hazipishani sana kiwango Cha umaskini kinakaribiana. Duniani Rwanda ni nchi ya 26 kwa umaskini, Tanzania ni ya 31. Karibu 50% ya watu Rwanda ni maskini, but hata Tanzania karibu 50% pia ni maskini
Tumewazidi japo sio kihivyo
Toa tofauti ya kagame na nyie manyang'au acha porojo
Rwanda pia ni middle lower income,Tanzania ni middle lower income kwa maana Gdp per capita yetu ni zaidi ya $1200
Rwanda Gdp per capita ni chini ya $1000
Kwa Lugha rahisi ya madafu unayoielewa wewe kila Mtanzania anatengeneza zaidi ya 500,000 kushinda Rwanda kwa mwaka, ina include hadi watoto wa Changa,
Hata hujui Gini coefficient ni nini bado unabwabwaja tu, Gini inapima Pato la watu wenye Nacho kama kina Bakhresa, MO, mawaziri, maraisi etc na pato la wasio nacho kama Vile Walimu, Ma house girl, vibarua wa Viwanda etc kutengeneza hio coefficient na kuonesha gape la walio nacho na wasio nacho.
Nitakupa mfano Rwanda Mwalimu wa Shule ya Msingi analipwa kama 200,000 ya Tanzania
For comparison Tanzania ni zaidi ya laki 3 mwalimu msingi anapata, so sisi tunalalamika laki 3 ni ndogo ila wenzetu wanaimezea mate
Kutokana na masikini kuwa masikini zaidi inafanya Income inequality ya Rwanda kuwa kubwa zaidi.
Ni kubwa mno,
Chukua idadi ya watu milioni 60 Asilimia moja tu ni watu laki 6, mtu akikuambia tumewapita Asilimia 5 ama 10 anamaanisha watu milioni 3 ama 6, unajua gharama ya kusomesha watu milioni 3? Ama uwe na watu milioni 6 kwenye nchi yako ambao hawajui kusoma na kuandika?
Rwanda pia ni middle lower income,
Rwanda gdp per capita inacheza kwenye $990, Tanzania inacheza kwenye $1200. Hili gap si kubwa acha uwongo
Kuhusu gini coefficient , Rwanda ni 43%, Tanzania Ni 40%. Hilo gap si kubwa acha kueneza uongo wako
Kwanza GDP per capita ya Rwanda sio chini ya 1000 na hiyo ni data ya mika takribani miwili iliyopita hivyo sisi na wao wala hatujatofautiana sana wote tupo kwenye group moja kuwa LMI haitufanyi ionekane sisi na Rwanda ni mbingu na ardhi 1200 na 1000 wote mpo kwenye uzani ule ule usio na upishano mkubwa angalau uzani ungekuwa unasoma 1000 kwa 15000,20,000 ni haki kusema hawa hatunao uzani sawa.Tanzania ni middle lower income kwa maana Gdp per capita yetu ni zaidi ya $1200
Rwanda Gdp per capita ni chini ya $1000
Kwa Lugha rahisi ya madafu unayoielewa wewe kila Mtanzania anatengeneza zaidi ya 500,000 kushinda Rwanda kwa mwaka, ina include hadi watoto wa Changa,
Hata hujui Gini coefficient ni nini bado unabwabwaja tu, Gini inapima Pato la watu wenye Nacho kama kina Bakhresa, MO, mawaziri, maraisi etc na pato la wasio nacho kama Vile Walimu, Ma house girl, vibarua wa Viwanda etc kutengeneza hio coefficient na kuonesha gape la walio nacho na wasio nacho.
Nitakupa mfano Rwanda Mwalimu wa Shule ya Msingi analipwa kama 200,000 ya Tanzania
For comparison Tanzania ni zaidi ya laki 3 mwalimu msingi anapata, so sisi tunalalamika laki 3 ni ndogo ila wenzetu wanaimezea mate
Kutokana na masikini kuwa masikini zaidi inafanya Income inequality ya Rwanda kuwa kubwa zaidi.
Ni kubwa mno,
Chukua idadi ya watu milioni 60 Asilimia moja tu ni watu laki 6, mtu akikuambia tumewapita Asilimia 5 ama 10 anamaanisha watu milioni 3 ama 6, unajua gharama ya kusomesha watu milioni 3? Ama uwe na watu milioni 6 kwenye nchi yako ambao hawajui kusoma na kuandika?
Muongo wewe, Rwanda hiyo 52% umeitoa wapi kutoka world bank? Kwa data za world bank hiyo Rwanda poverty ni 48%Tanzania ni 42.9% source world bank
Na Rwanda ni 52% source hio hio world bankTanzania Poverty and Equity Brief : October 2024
From 2006 to 2014, Tanzania experienced balanced economic growth driven by capital accumulation, labor accumulation, and total factor productivity (TFP). This growth led .documents.worldbank.org
So kila watu 100 kwa Rwanda 52 ni masikini na Tanzania 43 ni masikini gape sio dogo hilo.
Nachoweza sema Rwanda ina haki ya kuwa masikini kwa jinsi ilivyo na ilipo na sio kinyume chake kwa Tanzania na jitihada zake za kujikwamua lazima nizipongezeTanzania ni 42.9% source world bank
Na Rwanda ni 52% source hio hio world bankTanzania Poverty and Equity Brief : October 2024
From 2006 to 2014, Tanzania experienced balanced economic growth driven by capital accumulation, labor accumulation, and total factor productivity (TFP). This growth led .documents.worldbank.org
So kila watu 100 kwa Rwanda 52 ni masikini na Tanzania 43 ni masikini gape sio dogo hilo.
Huyu hapa alikuwa anamtukana Magufuli na yupo sahihi.Je, ni kitu gani kinampa ujasiri wa kuwadharau Marais wa nchi zingine?
Inafahamika uwezo wa kijeshi hana lakini ana mbwembwe nyingi na kamdomo kwa wingi.
Je, si wakati muafaka kumpa kipigo cha mbwa koko ili afunge mdomo wake?
Sasa hivi anawashambulia na kuwaua walinzi wa amani, je anastahili kuendelea kuwa Rais wa nchi ambayo ni mwanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki?
View attachment 3223435
View attachment 3223446
Mnabishana kuhusu nini wakuu?Muongo wewe, Rwanda hiyo 52% umeitoa wapi kutoka world bank? Kwa data za world bank hiyo Rwanda poverty ni 48%
Kutoka 2020 ilikua 51%, na ikashuka hadi 2024 kuwa 48%. We hiyo 52% umeitoa wapi?
Gap la 43% kwa 48% sio kubwa acha porojo
View attachment 3223520
Kikwete ana mapungufu yake mengi lakini katika hotuba hii huyo si Kikwete tu, huo ni msimamo wa miaka mingi wa sera ya mambo ya nje wa Tanzania.Mwenyewe anathibitisha kutukanwa!View attachment 3223450
1. Umekuja mwenyewe na data zako Rwanda umasikini ni 50%Muongo wewe, Rwanda hiyo 52% umeitoa wapi kutoka world bank? Kwa data za world bank hiyo Rwanda poverty ni 48%
Kutoka 2020 ilikua 51%, na ikashuka hadi 2024 kuwa 48%. We hiyo 52% umeitoa wapi?
Gap la 43% kwa 48% sio kubwa acha porojo
View attachment 3223520
Nimenukuu like wewe umekiwakilisha, pia m sihusiki na kuziweka nchi category zipi za uchumi. mm ni mlaji wa taarifaSio kosa langu kwa ujinga wako, unajua vigezo vya lower income na lower middle income?
World Bank LMI classification
So nikuulize wewe mwenye $990 na $1200 nani ni low income na nani ni lower middle income? Kama Rwanda ni lower middle Lete ushahidi.
- Low-income: GNI per capita of $1,145 or less
- Lower middle-income: GNI per capita between $1,146 and $4,515
- Upper middle-income: GNI per capita between $4,516 and $14,005
- High-income: GNI per capita of more than $14,005
Pia gape la $990 na 1200 ni kubwa mno tunaongelea Gdp per capita hapo.
Assume tena Familia ina watu 5 ina maana unachukua $210 x 5 unapata $1100 ambayo ni Takriban milioni 3.
So familia ya Kitanzania inapata milioni 3 zaidi kuliko Familia ya Kinyarwanda, huoni utofauti hapo?
Na tena huku maisha ni bei rahisi zaidi, uki take consideration cost ya maisha gape ni kubwa zaidi.
Assume data zako za Gini Coefficient zipo sawa still asilimia 3 ni kubwa kwa Nchi zenye watu kwa mamilioni,
Nimeweka roughly, ndio maana nikasema inakaribia 50%1. Umekuja mwenyewe na data zako Rwanda umasikini ni 50%
2. Data za 52% nimetoa world bank na link nimekuwekea comment uliyo iquote usijifanye kipofu
3. Weka link ya screenshot yako, we ukiangalia hio screenshot hata inajieleza yenyewe?
Vp Gdp per capita haina issue Tena sio? Sababu Umedakwa uongo wako?
Nchi karibia zote ndogo Africa zina utajiri kuliko Nchi kubwa, ukiwa na Nchi ndogo ni rahisi kukuza Gdp per capita, Tanzania sisi ni Takriban mara 5 ya Rwanda kwa Idadi ya watu, sisi kuwapita wao Gdp per. Capita ni feat kubwa.Nachoweza sema Rwanda ina haki ya kuwa masikini kwa jinsi ilivyo na ilipo na sio kinyume chake kwa Tanzania na jitihada zake za kujikwamua lazima nizipongeze
Kwa Tanzania hiyo ni hadithi nyingine labda uwe uichukulia Tanzania kama Rwanda ili kuficha failures hauwezi kujisifu kuwa 43 na 48 umemuacha Rwanda mchovu mbali hauwezi kuwa serious unaleta michezo
Anadai poverty rate Rwanda ni kubwa mno kuliko Tanzania, while gap sio kubwa ndio akaja na taarifa za world bank. But taarifa za world bank gap ni dogo, ni 43% kwa 48%Mnabishana kuhusu nini wakuu?
Niwekee link hilo pdf hata halina source halijulikani linapotokA, kama mimi nilivyoweka source za world bank na wewe weka source ulipotoa hio pdf.Nimeweka roughly, ndio maana nikasema inakaribia 50%
Data za 52% umetoa world bank gani? Hizo ulizoweka link ni kwa Tanzania tu, haikuonyesha Rwanda. World bank kuhusu Rwanda hiyo hapo kwenye pdf, onyesha wapi Kuna 52%