Huyu ndiye binti wa Mwl Mwakasege ambaye ni mmoja wa marubani aliyerusha ndege iliyobeba mwili wa Rais Magufuli

Huyu ndiye binti wa Mwl Mwakasege ambaye ni mmoja wa marubani aliyerusha ndege iliyobeba mwili wa Rais Magufuli

MashaAllah
IMG-20210322-WA0016.jpg
 
Heeeeehhh mkuu zanzibar to mwanza uko the future
 
Labda nina tatizo la uelewa. Inakuwaje kuubeba mwili wa marehemu kuwa ni jambo la kihistoria??! Ninadhani ni kumbukumbu tu. Historia ni mama Samia kuwa Rais wa kwanza mwanamke!! Kama rubani huyu ndio wa kwanza wa kike, inawezeka kuwa historia!!

Utamaduni wa kukuza vitu vidogo umetujaa. Sio ajabu unaona jina la mkuu wa mkoa liko kwenye kibao cha ufunguzi wa matundu sita ya vyoo katika shule ya msingi!! Tutaanza kuwaza mambo makubwa lini??
 
Back
Top Bottom