Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Aisee jamaa kanilisha kharam
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee jamaa kanilisha kharam
Vitu vya kawaida sana hv.....Kongole zake. So inspiring.
Panapo majaaliwa mkuuuMbona Dodoma Zanzibar na Zanzibar Mwanza bado. Au mwenzetu uko ahead of the time.
Kuomba radhi ni hulka ya wastaarabu...Niombe radhi tafadhali mkuu maana umenikosea sana
KudadekiWanawake wanakaba hadi refa
Karibu sana kakonko mkuu nitakupatia angalau gunia moja la karangaNdiyo ni kazi na unasifiwa ukifanya extraordinary...
Yaani ushike jembe uende shamba urudi utake pongezi... Labda wenye akili ndogo ndo wafanye ivo! Thubutuuuu
Aisee jamaa kanilisha kharam
Wewe unachoweza ni kutuhudumia pale corner
Sio kwa watt wa Mwalim!Kwa taarifa yako hilo ni zao la CCM kuanzia skauti
Una lingine!?
[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
Halafu na wewe si wa Ipinda ???Kongole zake. So inspiring.
Kapiga sana kazi pale SAAHakika huyu ni Malkia wa nguvu...background yake inasemaje?wapi alipata experience?
Kumbe wewe ndio kati ya wale wanaume wanajiuzaga pale?Kweli maana nakuona pale coner bar unavyo elea
Alisoma South Africa!Hakika huyu ni Malkia wa nguvu...background yake inasemaje?wapi alipata experience?
Hakuna habari mpya bali ni kwa bahati yake ya kwenda kumpeleka aliyekuwa rais wa JMT kwenye makaazi yake ya mwishoHiyo si ndo professional yake? Urubani? Kwann inakuwa ni habari? Ooh kwa sababu ni wa jinsia ya kike.
Pamoja sana mkuuKuomba radhi ni hulka ya wastaarabu...
NISAMEEE.... Ila nawe umekosea sana!!
Alaaa kumbe binadamu huwa anajiuza?Mimi sifanye kazi anazofanya mke wako ili akulishe. Umesikia eeeee?
Kwanini Unamtuma mkeo kudanga upate bandle la kutukania hapa ndani lakini?
Wallah huyo mwanamke akikuacha utaishia kujiuza mwenyewe
Duuuu hiyo ni kali sasaSi wewe tu siku moja moja hutokea. Hata vitani kuwapo kwa friendly fire siku moja moja hueleweka.