Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Kwanini umtakie apate ugonjwa mkuu?Hakuna ugonjwa hapo kati au anaushirika na sir God
Au unabifu naye binti wa watu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini umtakie apate ugonjwa mkuu?Hakuna ugonjwa hapo kati au anaushirika na sir God
Nisaidie kushangaa... Ujue haya mataga ni manyani kweli kweli...Labda nina tatizo la uelewa. Inakuwaje kuubeba mwili wa marehemu kuwa ni jambo la kihistoria??! Ninadhani ni kumbukumbu tu. Historia ni mama Samia kuwa Rais wa kwanza mwanamke!! Kama rubani huyu ndio wa kwanza wa kike, inawezeka kuwa historia!!
Utamaduni wa kukuza vitu vidogo umetujaa. Sio ajabu unaona jina la mkuu wa mkoa liko kwenye kibao cha ufunguzi wa matundu sita ya vyoo katika shule ya msingi!! Tutaanza kuwaza mambo makubwa lini??
Hata kushika majembe ya kuvutwa na trekta ni kazi pia ya kujisifiaSiku ukivuna tani nyingi kuliko kwenye shamba lako utastahili pongezi...
Ila kwa hivo unavoshika jembe na kuliima kwa mazoea, sahau
Waongo nyie mbona huyo ni Jesca!!Hakika huyu dada historia itambeba.
Ameendesha ndege iliyo mbeba Jpm kutoka dsm to Dodoma, Dodoma to Zanzibar, Zanzibar to Mwanza.
.https://www.instagram.com/p/CMuszSDLbRL3cGlceGUOg_05Q5I5_Dmxz9HuD00/?igshid=vgd923hzhfsm.View attachment 1731957
Nakuona wewe ni mgeni wa hili jukwaa,Nisaidie kushangaa... Ujue haya mataga ni manyani kweli kweli...
Eti ehee,litakuwa... Hebu waje watuthibitishie pia.Maana Mwl Mwakasege kwenye moja ya semina zake aliwahi toa ushuhuda wa moja ya Binti yake anayesomea urubaniTusajigwe litakuwa ni jina lake
Familia yenye hofu ya Mungu na Maombi huinuliwa!!Ni mtoto wa Mwakasege mhubiri wa Injili ya Bwana wa Majeshi
Jesca gani mkuu?Waongo nyie mbona huyo ni Jesca!!
Kwa taarifa yako hilo ni zao la CCM kuanzia skautiAnna Tusajigwe,sema lingine wewe MATAGA
Hakika huyu ni Malkia wa nguvu...background yake inasemaje?wapi alipata experience?MashaAllah View attachment 1731965
Ndiyo ni kazi na unasifiwa ukifanya extraordinary...Hata kushika majembe ya kuvutwa na trekta ni kazi pia ya kujisifia
Mi najua mwalimu mwakasege ana mtoto wa kike rubani, ila sijawahi kumuona (kumfatilia) bila shaka ndio huyuIla nadhani siyo Christopher Mwakasege.Maana anaitwa Ana Tusajigwe
Kwahiyo?Kwa taarifa yako hilo ni zao la CCM kuanzia skauti
Una lingine!?
[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
Gia ulikuja nayo ndo inaku-qualify kuwa MATAGANakuona wewe ni mgeni wa hili jukwaa,
Yaani unaniita mimi ni MATAGA?
Wewe unachoweza ni kutuhudumia pale cornerKwa taarifa yako hilo ni zao la CCM kuanzia skauti
Una lingine!?
[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
Mbona Dodoma Zanzibar na Zanzibar Mwanza bado. Au mwenzetu uko ahead of the time.Hakika huyu dada historia itambeba.
Ameendesha ndege iliyo mbeba Jpm kutoka dsm to Dodoma, Dodoma to Zanzibar, Zanzibar to Mwanza.
.https://www.instagram.com/p/CMuszSDLbRL3cGlceGUOg_05Q5I5_Dmxz9HuD00/?igshid=vgd923hzhfsm.View attachment 1731957
Ukiona vyaelea ujue vimeundwa😃Kwahiyo?
Niombe radhi tafadhali mkuu maana umenikosea sanaGia ulikuja nayo ndo inaku-qualify kuwa MATAGA
Nakuona wewe ni mgeni wa hili jukwaa,
Yaani unaniita mimi ni MATAGA?
Kweli maana nakuona pale coner bar unavyo eleaUkiona vyaelea ujue vimeundwa[emoji2]