Kayaula Musa
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 694
- 719
We mtu umetisha sanaHuo ndio uzuri wa kuzaliwa kwenye pesa. OVAAAAA!!!
Mkiwa maskini, hata wazazi waombe vipi, ni kama maombi yao hayafiki vile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We mtu umetisha sanaHuo ndio uzuri wa kuzaliwa kwenye pesa. OVAAAAA!!!
Mkiwa maskini, hata wazazi waombe vipi, ni kama maombi yao hayafiki vile
Reference Mkuu
Ha ha ha ha haMliobakia endeeleeni kuitisha na yakutolea wakati wenzenu wanasukuma machine za maana
Lakini mkuu kumbuka hii fani ina majina ya familia zenye uwezo kutokana na gharama za kupata hayo mafunzo.Huo ndio uzuri wa wwzazi kuombea ndoto za watoto.
Wengi hatujatimiza ndoto zetu sababu shetani na majeshi yake wamezinyakuwa, hatukuwa na wa kutuombea
Acha ujinga kwani kakwambia akikuombea usiende shule au unadhani Mwakasege ni Sawa na yale matapeli yanayouza mafuta na majiMchungaji bwana. sisi anatuombea ili tufanikiwe, watoto wake wake anasomesha
Siyo kweli kwamba Anna ameajiriwa na ATCL, isipokuwa ameajiriwa na Wakala wa Ndege za serikali TGFA yenye dhamana ya kusafirisha viongozi wakuu kwa njia ya anga lkn pia yenye dhamana ya kusimamia mikataba ya ukodishaji ndege kwa ATCL kwa niaba ya Serikali.
ATCL na TGFA nadhani waliingia mikataba kadhaa ikiwa ni pamoja na ushirikiano kwenye suala la manpower hasa aviation engeering na Operations kwa maana ya Pilots na Cabin crew.
Ukiacha kusukuma hiyo Dash8-Q400 (De haviland) ambayo ni kama zile Bombardier, ni senior 1st Officer anayesukuma Fokker 50 na Gulf stream yaani Ndege ya Mh. Rais.
Kwa pilots wa kike pia yupo pia Joanitha Boman ambaye nae anasukuma ngoma kama hizo.
"Wanawake tunaweza"
Kuna kujisifia na kusifiwa,Reference ni mm. Wht kind of reference unataka tena, so edit post yako hana hizo rating.. Fanya editing, watu watakudharau sbb you posted kitu hukijui kabisa..
Elolii..ujobhile syabhunyambala mwaisa🙏🙏👏👏Huo ndio uzuri wa wwzazi kuombea ndoto za watoto.
Wengi hatujatimiza ndoto zetu sababu shetani na majeshi yake wamezinyakuwa, hatukuwa na wa kutuombea
She is 36 yrs ni umri mdogo huo?Kuna kujisifia na kusifiwa,
Ni wapi Anna amejisifia? Acha wivu wa kike jamaa yangu.
ATCL unasukuma goma gani?
If unasukuma mizigo ya abiria lazima wivu ukubambe.
Ukweli ni kwamba Capt. kuna wakati anakaa aside sio muda wote yy ndo anasukuma goma. Remember Capt aliaza kama 1st officer in the name of God Anna atakuja kuwa Capt with 4 basic factors;
1.Kiumri ni mdogo thus anao muda wa kujifunza 2.Ni mtu mwenye nidhamu na kile kitu anachokifanya.
3. Anapenda anachokifanya na anaishi kwenye ndoto zake.
4. Kwa level aliyofikia govt haiwezi kukosa kum-support kufikia level ya kuwa Capt.
Una swali?
Karibu......
Usi-panic jamaa yangu, maisha yenyewe mafupi haya....She is 36 yrs ni umri mdogo huo?
Tatizo ww una akili ndogo sana, am telling you real facts unasema ni wivu.. This is what poor minded individuals possess..
Mm nakwambia Anna ana rating ya Fokker 50 na Airbus A220-300 pekee, ww umekuja na ratings kibao za uongo.. What i meant, ni kuweka records sahihi, ww unasema ni wivu, hujui unachoandika humu. Umesema ana ratings ya Q-400 na G550 nimekwambia umeandika uongo hana hizo ratings na haruki hizo ndege kwa sasa.
And funny enough, unang'ang'aniza uongo wako, yaani ww unaniambia mm niwe na swali kwako? Eti karibu? Who? You? Akili huna ww, ww ni wakunifunza mm Aviation? Bigot.
Umemaliza vizuri sana..Kuna kujisifia na kusifiwa,
Ni wapi Anna amejisifia? Acha wivu wa kike jamaa yangu.
ATCL unasukuma goma gani?
If unasukuma mizigo ya abiria lazima wivu ukubambe.
Ukweli ni kwamba Capt. kuna wakati anakaa aside sio muda wote yy ndo anasukuma goma. Remember Capt aliaza kama 1st officer in the name of God Anna atakuja kuwa Capt with 4 basic factors;
1.Kiumri ni mdogo thus anao muda wa kujifunza 2.Ni mtu mwenye nidhamu na kile kitu anachokifanya.
3. Anapenda anachokifanya na anaishi kwenye ndoto zake.
4. Kwa level aliyofikia govt haiwezi kukosa kum-support kufikia level ya kuwa Capt.
Una swali?
Karibu......
Mbona unapaniki mzeeShe is 36 yrs ni umri mdogo huo?
Tatizo ww una akili ndogo sana, am telling you real facts unasema ni wivu.. This is what poor minded individuals possess..
Mm nakwambia Anna ana rating ya Fokker 50 na Airbus A220-300 pekee, ww umekuja na ratings kibao za uongo.. What i meant, ni kuweka records sahihi, ww unasema ni wivu, hujui unachoandika humu. Umesema ana ratings ya Q-400 na G550 nimekwambia umeandika uongo hana hizo ratings na haruki hizo ndege kwa sasa.
And funny enough, unang'ang'aniza uongo wako, yaani ww unaniambia mm niwe na swali kwako? Eti karibu? Who? You? Akili huna ww, ww ni wakunifunza mm Aviation? Bigot.
Mmmh! hapana si lazima...Daddy unataka kusema waliofanikiwa wote wazazi wao walikuwa wasomi??
Yaani nimecheka kwa sauti na Niko kw a usafiri wa uma watu wamenigeukia..Huo ndio uzuri wa kuzaliwa kwenye pesa. OVAAAAA!!!
Mkiwa maskini, hata wazazi waombe vipi, ni kama maombi yao hayafiki vile
wengine wakienda ulaya wanaludi ma DJ kuna washkaji walienda kusoma ulaya kumbe wameenda kusomea upishi na is wazee wanavimba mwanangu yuko ulayaWangapi wamezaliwa kwenye pesa wakaishia kuwa mashoga wanahonga wanaume wawabandue?
Wangapi wamezaliwa kwenye pesa wakaishia kuwa mateja?
NB:-
Sio kila Mchungaji ni mwombaji, ndio maana wachungaji wengine shetani anawapiga kikamilifu
kule jeshini watu wanatafuta masaa tu then wanapiga chini wanakuja kuwa commercial pilotsUrubani hauhitaji akili nyingi.
Ukiwa na mambo 3 tu inatosha.
1. Pesa
2. Utimamu wa akili na mwili
3. Lengo.
Hata ukipata form form D tatu ikiwemo angalau moja ya mathematics au physics inatosha. Ukiwa maskini sahau urubani maishani mwako hata upate A masomo yote, labda utapaisha ndege za jeshi tu
Asante Sana kwa kutambua hilo katikati ya masihara yangu mengi
Mbona unapaniki mzee