Huyu ndiye binti wa Mwl Mwakasege ambaye ni mmoja wa marubani aliyerusha ndege iliyobeba mwili wa Rais Magufuli

Huo ndio uzuri wa wwzazi kuombea ndoto za watoto.
Wengi hatujatimiza ndoto zetu sababu shetani na majeshi yake wamezinyakuwa, hatukuwa na wa kutuombea
Lakini mkuu kumbuka hii fani ina majina ya familia zenye uwezo kutokana na gharama za kupata hayo mafunzo.
Kwa hiyo kuna wazazi wanathamini na kuombea ndoto za watoto wao ila uhalisia wa kufanikisha ndoto hizo unakwamisha.
 
Siyo kweli kwamba Anna ameajiriwa na ATCL, isipokuwa ameajiriwa na Wakala wa Ndege za serikali TGFA yenye dhamana ya kusafirisha viongozi wakuu kwa njia ya anga lkn pia yenye dhamana ya kusimamia mikataba ya ukodishaji ndege kwa ATCL kwa niaba ya Serikali.

ATCL na TGFA nadhani waliingia mikataba kadhaa ikiwa ni pamoja na ushirikiano kwenye suala la manpower hasa aviation engeering na Operations kwa maana ya Pilots na Cabin crew.

Ukiacha kusukuma hiyo Dash8-Q400 (De haviland) ambayo ni kama zile Bombardier, ni senior 1st Officer anayesukuma Fokker 50 na Gulf stream yaani Ndege ya Mh. Rais.

Kwa pilots wa kike pia yupo pia Joanitha Boman ambaye nae anasukuma ngoma kama hizo.

"Wanawake tunaweza"

Anna harushi Q-400 hajafanyia rating na Gulfstream pia bado hana rating, Anna ana rating ya Fokker 50 na Airbus A220-300 tu.. Sijui hz habari haziko sawa mnapata wapi
 
Reference ni mm. Wht kind of reference unataka tena, so edit post yako hana hizo rating.. Fanya editing, watu watakudharau sbb you posted kitu hukijui kabisa..
Kuna kujisifia na kusifiwa,
Ni wapi Anna amejisifia? Acha wivu wa kike jamaa yangu.

ATCL unasukuma goma gani?
If unasukuma mizigo ya abiria lazima wivu ukubambe.

Ukweli ni kwamba Capt. kuna wakati anakaa aside sio muda wote yy ndo anasukuma goma. Remember Capt aliaza kama 1st officer in the name of God Anna atakuja kuwa Capt with 4 basic factors;

1.Kiumri ni mdogo thus anao muda wa kujifunza 2.Ni mtu mwenye nidhamu na kile kitu anachokifanya.
3. Anapenda anachokifanya na anaishi kwenye ndoto zake.
4. Kwa level aliyofikia govt haiwezi kukosa kum-support kufikia level ya kuwa Capt.

Una swali?
Karibu......
 
Huo ndio uzuri wa wwzazi kuombea ndoto za watoto.
Wengi hatujatimiza ndoto zetu sababu shetani na majeshi yake wamezinyakuwa, hatukuwa na wa kutuombea
Elolii..ujobhile syabhunyambala mwaisa🙏🙏👏👏
 
Kuna kujisifia na kusifiwa,
Ni wapi Anna amejisifia? Acha wivu wa kike jamaa yangu.

ATCL unasukuma goma gani?
If unasukuma mizigo ya abiria lazima wivu ukubambe.

Ukweli ni kwamba Capt. kuna wakati anakaa aside sio muda wote yy ndo anasukuma goma. Remember Capt aliaza kama 1st officer in the name of God Anna atakuja kuwa Capt with 4 basic factors;

1.Kiumri ni mdogo thus anao muda wa kujifunza 2.Ni mtu mwenye nidhamu na kile kitu anachokifanya.
3. Anapenda anachokifanya na anaishi kwenye ndoto zake.
4. Kwa level aliyofikia govt haiwezi kukosa kum-support kufikia level ya kuwa Capt.

Una swali?
Karibu......
She is 36 yrs ni umri mdogo huo?

Tatizo ww una akili ndogo sana, am telling you real facts unasema ni wivu.. This is what poor minded individuals possess..

Mm nakwambia Anna ana rating ya Fokker 50 na Airbus A220-300 pekee, ww umekuja na ratings kibao za uongo.. What i meant, ni kuweka records sahihi, ww unasema ni wivu, hujui unachoandika humu. Umesema ana ratings ya Q-400 na G550 nimekwambia umeandika uongo hana hizo ratings na haruki hizo ndege kwa sasa.

And funny enough, unang'ang'aniza uongo wako, yaani ww unaniambia mm niwe na swali kwako? Eti karibu? Who? You? Akili huna ww, ww ni wakunifunza mm Aviation? Bigot.
 
Usi-panic jamaa yangu, maisha yenyewe mafupi haya....
 
Umemaliza vizuri sana..

Kwa nukta yako niseme kwamba pakusifiwa tusifie..mtu akiwa hai.

Anahitaji support + pongezi pia sio muda wa kumkosoa + kusema hawezi.
 
She is 36 yrs ni umri mdogo huo?

Tatizo ww una akili ndogo sana, am telling you real facts unasema ni wivu.. This is what poor minded individuals possess..

Mm nakwambia Anna ana rating ya Fokker 50 na Airbus A220-300 pekee, ww umekuja na ratings kibao za uongo.. What i meant, ni kuweka records sahihi, ww unasema ni wivu, hujui unachoandika humu. Umesema ana ratings ya Q-400 na G550 nimekwambia umeandika uongo hana hizo ratings na haruki hizo ndege kwa sasa.

And funny enough, unang'ang'aniza uongo wako, yaani ww unaniambia mm niwe na swali kwako? Eti karibu? Who? You? Akili huna ww, ww ni wakunifunza mm Aviation? Bigot.
Mbona unapaniki mzee
 
Daddy unataka kusema waliofanikiwa wote wazazi wao walikuwa wasomi??
Mmmh! hapana si lazima...

Isipokuwa maana yangu ilikuwa kuna nafasi kubwa kwa baba anayejua umuhimu wa shule na pia msomi kuambukiza "DNA" ya usomi kwa wanawe...

Mwl. Mwakasege pamoja ya kuwa ni Mwl wa Biblia/Neno la Mungu lakini pia ni Mchumi kitaaluma...
 
We fala.
Huo ndio uzuri wa kuzaliwa kwenye pesa. OVAAAAA!!!

Mkiwa maskini, hata wazazi waombe vipi, ni kama maombi yao hayafiki vile
Yaani nimecheka kwa sauti na Niko kw a usafiri wa uma watu wamenigeukia..
Duhhh umaskini mbaya sana
 
Wangapi wamezaliwa kwenye pesa wakaishia kuwa mashoga wanahonga wanaume wawabandue?
Wangapi wamezaliwa kwenye pesa wakaishia kuwa mateja?
NB:-
Sio kila Mchungaji ni mwombaji, ndio maana wachungaji wengine shetani anawapiga kikamilifu
wengine wakienda ulaya wanaludi ma DJ kuna washkaji walienda kusoma ulaya kumbe wameenda kusomea upishi na is wazee wanavimba mwanangu yuko ulaya
 
Urubani hauhitaji akili nyingi.
Ukiwa na mambo 3 tu inatosha.
1. Pesa
2. Utimamu wa akili na mwili
3. Lengo.
Hata ukipata form form D tatu ikiwemo angalau moja ya mathematics au physics inatosha. Ukiwa maskini sahau urubani maishani mwako hata upate A masomo yote, labda utapaisha ndege za jeshi tu
kule jeshini watu wanatafuta masaa tu then wanapiga chini wanakuja kuwa commercial pilots
 
SADAKA YANGU IMETUMIKA VIZURI.

Ila ndege inayorushwa na mwanamke mimi sipandi. Wanawake ni wepesi sana kupaniki likitokea la kutokea!
 
Mbona unapaniki mzee

Mie nipanic, ww umeandika uongo mtupu katika hizo ratings sijui za South Africa. Nakurekebisha, unasema napanic, hana hizo ratings, i told you ana ratings 2, Fokker 50 na Airbus A220-300, ww umekuja na uongo mtupu..

This means mkiwa mnaandika hamjui mnaandika nn, uongo plus kujidai unajua kumbe hujui chochote... Na ukiona mtu anaandika kitu hakijui kabisa na hakubali kuelekezwa, huyo ni total failure, meaning ww ni kati ya group la watu wasiojua mambo vizuri, so ingekuwa ni exam, hapa una F tupu.. Sbb umeandika wrong..
 
Back
Top Bottom