Huyu ndiye Charlene Ruto, binti wa Rais wa Kenya anayewasumbua vichwa wanaume wengi

Huyu ndiye Charlene Ruto, binti wa Rais wa Kenya anayewasumbua vichwa wanaume wengi

Achana na waandishi wa habari, njoo kwenye uchoraji wa vibonzo jamaa wako mbali sana[emoji23][emoji23][emoji23].
Jamaa kwenye kuchora vibonzo vya wanasiasa hawajambo. Kuna jamaa anaitwa Gado kwenye kuchora vibonzo kwa Africa ni namba Moja. Kuna wakati aliwaikumbana na jaribio la kufukuzwa Kenya ilhali ni mkenya.
Gado mwenye huyo apo mkuu nadhani ndo unae mzungumzia

Huyu jamaa jina lake halisi anaitwa Godfrey Mwampembwa

Huyu sio mkenya mkuu huyu ni Mtanzania kwakuzaliwa
Screenshot_20230330-103844_1.jpg
 
Kweli? Basi mi najua ni mkenya, kumbe sipo sahihi!Basi huyu jamaa kwenye vibonzo kipanya ajipange mara elfu[emoji1787][emoji1787]
Kweli mkuu nakubaliana na ww

Inaonekana wewe ni mfuatiliaji mzuri saana wa vibonzo mkuu[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ila hilo komwe la mtoto wa prezidaa ukiweka yai kama jua likiwa limewaka lazima litaiva tu
 
Kweli mkuu nakubaliana na ww

Inaonekana wewe ni mfuatiliaji mzuri saana wa vibonzo mkuu[emoji3][emoji3][emoji3]
Haah Haah. Yaan nina mahaba na vibonzo balaah.
Hata katika movie napenda animation na katuni.. Haipiti wiki bila kumcheki Rango.
Kila nikutana na kazi ya Gado ujumbe ama mchoro wake ni lazima kimoja kinifanye nicheke sana.
Ukipita mtandaoni kuona majarida ya Africa :-
The punch.
Vanguard, this day

Daily graphic etc
Ukicheki upande wa vibonzo unaona kabisa Gado ni Mfalme wa hiyo tasinia , hawamfiki jamaa. 😂😂
 

Attachments

  • EA-May-06-13-TZ-Parliament-in-session.jpg
    EA-May-06-13-TZ-Parliament-in-session.jpg
    700.7 KB · Views: 9
  • gado_04092020-1000x600.jpg
    gado_04092020-1000x600.jpg
    98.8 KB · Views: 7
Back
Top Bottom