Huyu ndiye daktari aliyejichoma sindano ya UKIMWI ili kuthibitisha kuwa UKIMWI ni uongo!

Huyu ndiye daktari aliyejichoma sindano ya UKIMWI ili kuthibitisha kuwa UKIMWI ni uongo!

Status
Not open for further replies.
Haya mambo yanafikirisha sana na inawezekana kuna tatizo mahali ambalo wataalamu wetu wa afya hawajui au kufanya kitu kwa kukariri au mazoea. Nilisoma sana mada kama hii kipindi kile cha Deception sikutilia maanani sana na wala sikupuuza sana sababu anahoja zenye mashiko za kufanya umkubali,sasa siku moja kuna mdada mjamzito alinipa kesi kama hii baada ya kupimwa akaambiwa ameathirika so akawa anaomba ushauri kwangu nikafikiria sana nini nimuambie ikabidi niyachukue mawazo ya bwana Deception kumshauri maana kuna sehemu aligusia moja ya vitu vinavyofanya kipimo cha HIV ki detect p+ ni hali ya ujauzito. Hivyo mimi nikamshauri atulie tu mpaka ajifungue akae kama miezi 6 akapime mradi tu asitumie hizo dawa zao wala sikumpa hoja hasa za kisayansi kwamba kwanini afanye vile sababu shule yake ndogo kuelewa hoja kama hizi ila baada ya muda alinipigia na kuniambia amepima amekutwa mzima na akawaeleza madaktari situation mzima ilivyokua wakamuambia inatokeaga kesi kama izo ila arudi tena baada ya mda,Hivyo hivi vitu vinafikirisha sana.
 
Nani aliesema hakuna Ukimwi? Ndio maana nakuambia unadandia treni kwa mbele. Ukimwi upo, ila tunachojadili hapa ni uwezekano wa ARV kusababisha Ukimwi na si Retro-Virus per say
Achana na hoja ya ARV ambayo imekuja juzi.
Jibu hayo maswali niliyouluza
 
Kwa mujibu wa Dr Biswaroop Roy, alipata kusema kwamba "VVU-UKIMWI, sio ugonjwa bali ni biashara ya hofu! "
Kabla hujaconclude hvyo, jiulize haya maswali..
Hv, unajua kuwa Cancer haina dawa
Hv unajua Heipatites B,& C hazina dawa kabsa na zinauwa sana tu
Hv unajua Homa ya Ini haina dawa
Ila kwann watu wa magonjwa hayo hawafi kwa mawazo, hadi, ukimwi, ndio msingizie wanakufa kwa mawazo..??
 
Naelewa, ila kuna maswali ya msingi nmeyauliza hujanijibu bado..

Ni hv mkuu, hatukatai unavovisema hapa, ila inavyooneka wew umejielekeza zaidi ktk tafiti zinazopinga uwepo wa HIV/AIDS ambazo kweli zina facts...
Sasa lazima mwsho wa siku utuambie solution ni nin.
Kwa bahati mbaya solution zako zote hazina majibu ya kutosha. Mfano nmekuuliza..
1. JE UNA USHAHIDI WA WATU WALIOGUNDULIKA NA UKIMWI HALAFU WAKAJITIBU HAYO MAGOMJWA NYEMELEZ KISHA WAKAPONA..??

2. NMEKUULIZA KAMA NGONO HAIENEZ UKIMW NN INAENEZA TENA KWA KASI SANA.. Mfano ni Botswana waliisha watu ila baada ya kudhibiti ngono zembe basi ikaisha kama sio kupungua. Mifano ni mingi kuwa toka watu waache ngono zembe ndio rate ys vifo na wagonjwa ikapungua.

3. NIMEKUULIZA KAMA UKIMW HAUPO NA HAUAMBUKIZW KWA NGONO..IWEJE MTU ANAYEKUFA KWA UKIMWI AKIANDIKA LIST YA ALIOLALA NAO BASI SIKU SI NYNG NAO WANAKUFA

4. NIMEKUULIZA KAMA VIRUS HAVIPO IWEJE WATU WEUS PEKEE NDIO TUNASHAMBULIWA KWA KASI NA UGONJWA HUU HATA KAMA UPO MAREKANI/ULAYA.. as so long you are black basi ukiambukizwa unakufa. Weupe hawaadhirik kama sis

5. NIMEKUULIZA UKISEMA ISHU NI KINGA ZETU KUWA ZINAKUWA NDOGO KISA NUTRITION , HIVI HII INAUKWELI GANI WAKATI MAREKANI BLACK-AMERCAN WENYE PESA ZAO BADO WANAKUFA NA HATA HAPA KWETU TUSINGEZIKA MATAJIRI WENYE HELA ZA KUTOSHA ZA KUNUNUA HVYO VYAKULA
Without education our life has got a lot of superstitions threats and worries, money is not an issue
 
Hivyo kwa lugha nyepesi ni VVU hakuna.!

Ila UKIMWI upo.! Yaani unaweza patikana kwa mtu mwenye matatizo ya kiafya ikiwemo magonjwa na lishe.!

Ngumu kumeza_ ila kwenye asilimia hii hoja kwangu imechukua 75% na zilizobaki ni kwenye ile ya kumezeshwa.

Na nikienda kuhakiki kwa mtu mmoja ninayemfahamu kwa karibu akinihakikishia kuwa wanachowapima watu ni antbody na kirusi hakipo

Izo 25% nafuta kabisa.Na nakuwa balozi wa kutangaza HIV hakuna chini chini
Hahahaaaaaaa kama mimi vile
 
Kabla hujaconclude hvyo, jiulize haya maswali..
Hv, unajua kuwa Cancer haina dawa
Hv unajua Heipatites B,& C hazina dawa kabsa na zinauwa sana tu
Hv unajua Homa ya Ini haina dawa
Ila kwann watu wa magonjwa hayo hawafi kwa mawazo, hadi, ukimwi, ndio msingizie wanakufa kwa mawazo..??
Leo hii mtu akiambiwa ana Hepatitis na akiambiwa ana Ukimwi,kipi kitampa stroke na kwanini?
 
UPDATE: 30/07/2018 TANZANIA FOODS & DRUGS AUTHORITY LEO IMETANGAZA UZINDUZI WA MRADI WA KUKAGUA MADHARA YA DAWA MBALIMBALI ZINAZOTUMIKA NCHINI.
------- JE ARV ZIMO?
 
Hayo maswali uliyoyauliza yameshajibiwa yote huko nyuma
Nitajie post no ngap zmejibu swali moja moja..
Kumbuka hii thread nimeisoma yote. Nifanyie reference ya hapo majibu kwa post no ngap na ngap

Hakuna aliyejib woote wamerukaruka kama ww nnavyokwambia unijib hapa halafu unambwelambwela.
Na kwann kama majbu yapo usiyaweke hapa.
 
Nitajie post no ngap zmejibu swali moja moja..
Kumbuka hii thread nimeisoma yote. Nifanyie reference ya hapo majibu kwa post no ngap na ngap

Hakuna aliyejib woote wamerukaruka kama ww nnavyokwambia unijib hapa halafu unambwelambwela.
Na kwann kama majbu yapo usiyaweke hapa.
Uzi ni mrefu, legeza ubongo na usome kwa nia ya kujifunza na si kupinga
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom