Huyu ndiye Freeman Mbowe. Hapendwi mtu ila pesa kwanza. Anamchukia TAL kuliko ambavyo angemchukia SSH aliyemtia gerezani miezi 8+ bila kosa!!

Wewe ndio alikupa hii taarifa
Hayupo kizimkazi kama kiongozi au mwakilishi wa chadema,yupo kizimkazi kwa heshima kama mstaafu wa mambo ya kisiasa.
Unapokuwa umestaafu jaribu kuitunza heshima ya ustaafu wako,na epuka kuwashwa washwa!..lea wajukuu.
N.b,---Atakapoona labda nataka kurudi kwenye siasa atautaarifu umma rasmi.
 
Naomba ieleweke bw.Mbowe ameachana na shughuli za kisiasa,kwa dhati,angeomba asihusishwe na harakati zozote za kisiasa,kwani kwa sasa yupo busy na shughuli za kibiashara na uwekezaji,au yupo busy na shughuli za kujenga uchumi na taifa,
Hivyo ameweka pembeni mambo ya uanaharakati kwani amegundua hauna tija kwa taifa letu kwa nyakati hizi.
Amegundua uanaharakati sio baada ya kushindwa kwenye kiti Alichotaka kufia?
 
View attachment 3668368
Nimeambiwa kuwa, Freeman Mbowe ameshawahi kwenda Ukonga gerezani mara Moja kumtembelea Mwenyekiti wake Tundu Lissu...

Katika mtembeleo huo, hakutoa mrejesho walizungumza nini hasa iwapo alikwenda kumsalimu na kumfariji tu au kuna cha ziada walichozungumza kwa public kujua

Lakini FAM anaishi DSM tu.

Hajawahi kufika mahakamani hata mara moja kujiunga na wanachama wengine Ili ku - sympathize na kuonesha mshikamano wakati wa taabu na Mwenyekiti wake TAL kuwa wako pamoja..

Kizimkazi - Zanzibar au Rufiji kule kuliko na mradi wa kuzalisha umeme wa maji wa Mwl J.K. Nyerere ni kilometa nyingi, ni mbali kulinganisha Kivukoni iliko Mahakama Kuu ya Tanzania. Lakini FAM daima haoni kuwa ni kitu, huona lazima afike huko...

Ni nini tafsiri ya tabia na mwenendo huu wa Freeman Mbowe?

Je, ni kwamba anamchukia sana Tundu Lissu kwa kuchukua nafasi yake ya uenyekiti wa CHADEMA kwa njia halali kabisa za kikatiba kupitia uchaguzi huru, wazi na wa haki..?

Watu hususani wanachama wenzake wa CHADEMA wako very furious kwa mwenenendo na matendo yake haya kiasi cha kumtukana kila aina ya matusi huko mitandaoni...

His reputation built in almost more than 30yrs ndani ya CHADEMA is deteriorating tremendously...

Ama kweli HAPENDWI MTU ILA PESA TU...

Mimi nasema, kama ni kusamehe na sio unafiki tu, basi Freeman Mbowe anajua kusamehe mpaka anapitiliza mpaka kumkera hata anayemsamehe..!

============​
".......Kwamba sina adabu kwasababu ya kusema Mbowe ni malaya wa kisiasa, basi sawa mie sina adabu kabisa ila nilichosema ndo ukweli ambao kila mtu anaujua.

Nashukuru Mungu nilikuwa miongoni mwa watu ambao tulimsapoti Mhe. Lissu katika kuhakikisha Malaya wa kisiasa harudi kuongoza Chama chetu maana kama angeshinda Uenyekiti ile siku, sasa hivi CHADEMA yote ingekuwa kwenye brazia ya Nduli Idd Amini Mama..."
By Hilda Newton X - Twitter page
Unaweza kukuta aliyeandika hapa ni mwanaume eti
 
NTU YA DILI.
 
Walugaluga mmetoka maporini na kuvamia siasa sasa mmeachiwa lichadema linawafia mnamsakama Statesman Mbowe
Mbowe ni mtoto wa mjini, sijui mnateseka mkiwa wapi
 
Huyo malaya hajui kwamba chadema ni chama cha Mbowe? Hao maskini chadema haiwahusu, ni suala la muda tu chama kitarudi mikononi mwa wenyewe nyie makapuku mkaanzishe chama chenu. Halafu kwanini mkamlazimishe Mbowe kumtembelea huyo mpumbavu wenu? Mbona hamzungumzii mke wake kutokwenda kumtembelea? Mbona hamzungumzii mke wake Lissu kutohudhuria kesi ya mme wake? Mbowe siyo type ya nyie wapumbavu mnaonuka umaskini. Mbowe siyo type yenu mabwege nyie! Hata hivyo namlaumu sana Samia kuwachekea hawa mambwa Lissu na Heche. Magufuli alishamaliza kazi kiherehere cha mwanamke ndio kimeturudisha huku. Vile vile namlaumu sana Mbowe, amewaachia chama alichojenga kwa damu na jasho mambwa km hao. Najua anajuta sana, Lissu siyo mtu wa kumsaidia angemwacha tu afe alivyopigwa risasi!
SAwa shangazi umeeleweka.
 
Huwa nakutana na watu wa Chadema, ni jambo la kawaida kwa sababu tunaishi nao na hara Ccm nakutana nao. Nilikuwa nawaeleza Mbowe hayuko Chadema kwa sababu ni mpinzani bali yupo pale kimaslahi zaidi lakini walikuwa wananibishia.
Moja ya jambo alilowaaminisha wakati ule ni kumwachia Samia agombee bila kupingwa na wao wajiandae kwa uchaguzi wa mwaka 2030 lakini baada ya msiba wa marehemu kibao na yeye kumwalika waziri wa mambi ya ndani na kuwazuia wanachadema wasimzomee alikuja kuniambia huyu jamaa hatufai.
Anachofanya leo Mbowe sio kitu kigeni kwake tofauti anakifanya waxiwaxi
 
View attachment 3668368
Nimeambiwa kuwa, Freeman Mbowe ameshawahi kwenda Ukonga gerezani mara Moja kumtembelea Mwenyekiti wake Tundu Lissu...

Katika mtembeleo huo, hakutoa mrejesho walizungumza nini hasa iwapo alikwenda kumsalimu na kumfariji tu au kuna cha ziada walichozungumza kwa public kujua

Lakini FAM anaishi DSM tu.

Hajawahi kufika mahakamani hata mara moja kujiunga na wanachama wengine Ili ku - sympathize na kuonesha mshikamano wakati wa taabu na Mwenyekiti wake TAL kuwa wako pamoja..

Kizimkazi - Zanzibar au Rufiji kule kuliko na mradi wa kuzalisha umeme wa maji wa Mwl J.K. Nyerere ni kilometa nyingi, ni mbali kulinganisha Kivukoni iliko Mahakama Kuu ya Tanzania. Lakini FAM daima haoni kuwa ni kitu, huona lazima afike huko...

Ni nini tafsiri ya tabia na mwenendo huu wa Freeman Mbowe?

Je, ni kwamba anamchukia sana Tundu Lissu kwa kuchukua nafasi yake ya uenyekiti wa CHADEMA kwa njia halali kabisa za kikatiba kupitia uchaguzi huru, wazi na wa haki..?

Watu hususani wanachama wenzake wa CHADEMA wako very furious kwa mwenenendo na matendo yake haya kiasi cha kumtukana kila aina ya matusi huko mitandaoni...

His reputation built in almost more than 30yrs ndani ya CHADEMA is deteriorating tremendously...

Ama kweli HAPENDWI MTU ILA PESA TU...

Mimi nasema, kama ni kusamehe na sio unafiki tu, basi Freeman Mbowe anajua kusamehe mpaka anapitiliza mpaka kumkera hata anayemsamehe..!

============​
".......Kwamba sina adabu kwasababu ya kusema Mbowe ni malaya wa kisiasa, basi sawa mie sina adabu kabisa ila nilichosema ndo ukweli ambao kila mtu anaujua.

Nashukuru Mungu nilikuwa miongoni mwa watu ambao tulimsapoti Mhe. Lissu katika kuhakikisha Malaya wa kisiasa harudi kuongoza Chama chetu maana kama angeshinda Uenyekiti ile siku, sasa hivi CHADEMA yote ingekuwa kwenye brazia ya Nduli Idd Amini Mama..."
By Hilda Newton X - Twitter page
 
Attachments

  • IMG-20260824-WA0073.jpg
    IMG-20260824-WA0073.jpg
    38.2 KB · Views: 10
  • HQgT1r8WEAAQizI.jpg
    HQgT1r8WEAAQizI.jpg
    88.9 KB · Views: 10
Back
Top Bottom