Huyu ndiye Freeman Mbowe. Hapendwi mtu ila pesa kwanza. Anamchukia TAL kuliko ambavyo angemchukia SSH aliyemtia gerezani miezi 8+ bila kosa!!

Huyu ndiye Freeman Mbowe. Hapendwi mtu ila pesa kwanza. Anamchukia TAL kuliko ambavyo angemchukia SSH aliyemtia gerezani miezi 8+ bila kosa!!

siasa ya kuteka watu, kuwatesa, kuwaua, kuwabambikia makesi makubwa ya uongo na kuwafunga, bado unasema siyo uadui kweli???
Mkuu umeona wapi mtoto wa mbowe au ndugu wa mbowe akitekwa hata hao wa Lissu umemuona nani katekwa, siku zote mtaji wa wanasiasa ni watu baki ambao ndio hufanyiwa hayo yote maana hata ndani ya ccm wapo wanaotekwa ambao sio ndugu wa damu wa wanasiasa wakubwa

Ninachosema ni kuwa mbowe na samia hawana ugomvi wowote nje ya siasa wala Lissu na suala la msiba wa ndugu sio suala la kisiasa
 
View attachment 3668368
Nimeambiwa kuwa, Freeman Mbowe ameshawahi kwenda Ukonga gerezani mara Moja kumtembelea Mwenyekiti wake Tundu Lissu...

Katika mtembeleo huo, hakutoa mrejesho walizungumza nini hasa iwapo alikwenda kumsalimu na kumfariji tu au kuna cha ziada walichozungumza kwa public kujua

Lakini FAM anaishi DSM tu.

Hajawahi kufika mahakamani hata mara moja kujiunga na wanachama wengine Ili ku - sympathize na kuonesha mshikamano wakati wa taabu na Mwenyekiti wake TAL kuwa wako pamoja..

Kizimkazi - Zanzibar au Rufiji kule kuliko na mradi wa kuzalisha umeme wa maji wa Mwl J.K. Nyerere ni kilometa nyingi, ni mbali kulinganisha Kivukoni iliko Mahakama Kuu ya Tanzania. Lakini FAM daima haoni kuwa ni kitu, huona lazima afike huko...

Ni nini tafsiri ya tabia na mwenendo huu wa Freeman Mbowe?

Je, ni kwamba anamchukia sana Tundu Lissu kwa kuchukua nafasi yake ya uenyekiti wa CHADEMA kwa njia halali kabisa za kikatiba kupitia uchaguzi huru, wazi na wa haki..?

Watu hususani wanachama wenzake wa CHADEMA wako very furious kwa mwenenendo na matendo yake haya kiasi cha kumtukana kila aina ya matusi huko mitandaoni...

His reputation built in almost more than 30yrs ndani ya CHADEMA is deteriorating tremendously...

Ama kweli HAPENDWI MTU ILA PESA TU...

Mimi nasema, kama ni kusamehe na sio unafiki tu, basi Freeman Mbowe anajua kusamehe mpaka anapitiliza mpaka kumkera hata anayemsamehe..!

============​
".......Kwamba sina adabu kwasababu ya kusema Mbowe ni malaya wa kisiasa, basi sawa mie sina adabu kabisa ila nilichosema ndo ukweli ambao kila mtu anaujua.

Nashukuru Mungu nilikuwa miongoni mwa watu ambao tulimsapoti Mhe. Lissu katika kuhakikisha Malaya wa kisiasa harudi kuongoza Chama chetu maana kama angeshinda Uenyekiti ile siku, sasa hivi CHADEMA yote ingekuwa kwenye brazia ya Nduli Idd Amini Mama..."
By Hilda Newton X - Twitter page
Mbowe huwa ana shida sana, ametufikisha pabaya kwa kununulika. Nchi hii ina shida sana, na mtu kama Mbowe amevuruga sana upinzani amevuruga mno, hafai hata kidogo. Mbowe alikuwa mbaya na ni mbaya sana.
 
Leave Mbowe alone and let's see what you can do without him!
Really...!!??? 🥺 🥺

May be you're blind, that you can't see what has been done without him...

May be you're ignorant, foolish and stupid, that you can't understand what has been going on to promote CHADEMA just after he was shamelessly taken out of party supremacy leadership by a patriotic leader Tundu Lissu..

Thank you for being ignorant of all of these...
 
Really...!!??? 🥺 🥺

May be you're blind, that you can't see what has been done without him...

May be you're ignorant, foolish and stupid, that you can't understand what has been going on to promote CHADEMA just after he was shamelessly taken out of party supremacy leadership by a patriotic leader Tundu Lissu..

Thank you for being ignorant of all of these...
Why all the noise if CHADEMA can do without him?
1789220719288.png
24/7 .................................. !
 
Back
Top Bottom