Huyu ndiye Freeman Mbowe. Hapendwi mtu ila pesa kwanza. Anamchukia TAL kuliko ambavyo angemchukia SSH aliyemtia gerezani miezi 8+ bila kosa!!

Wewe ndio alikupa hii taarifa
Hayupo kizimkazi kama kiongozi au mwakilishi wa chadema,yupo kizimkazi kwa heshima kama mstaafu wa mambo ya kisiasa.
Unapokuwa umestaafu jaribu kuitunza heshima ya ustaafu wako,na epuka kuwashwa washwa!..lea wajukuu.
N.b,---Atakapoona labda nataka kurudi kwenye siasa atautaarifu umma rasmi.
 
Amegundua uanaharakati sio baada ya kushindwa kwenye kiti Alichotaka kufia?
 
Unaweza kukuta aliyeandika hapa ni mwanaume eti
 
NTU YA DILI.
 
Walugaluga mmetoka maporini na kuvamia siasa sasa mmeachiwa lichadema linawafia mnamsakama Statesman Mbowe
Mbowe ni mtoto wa mjini, sijui mnateseka mkiwa wapi
 
SAwa shangazi umeeleweka.
 
Huwa nakutana na watu wa Chadema, ni jambo la kawaida kwa sababu tunaishi nao na hara Ccm nakutana nao. Nilikuwa nawaeleza Mbowe hayuko Chadema kwa sababu ni mpinzani bali yupo pale kimaslahi zaidi lakini walikuwa wananibishia.
Moja ya jambo alilowaaminisha wakati ule ni kumwachia Samia agombee bila kupingwa na wao wajiandae kwa uchaguzi wa mwaka 2030 lakini baada ya msiba wa marehemu kibao na yeye kumwalika waziri wa mambi ya ndani na kuwazuia wanachadema wasimzomee alikuja kuniambia huyu jamaa hatufai.
Anachofanya leo Mbowe sio kitu kigeni kwake tofauti anakifanya waxiwaxi
 
 

Attachments

  • IMG-20260824-WA0073.jpg
    38.2 KB · Views: 10
  • HQgT1r8WEAAQizI.jpg
    88.9 KB · Views: 10
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…