Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
-
- #201
Yuko kanunuHata mimi katika kumbukumbu zangu kuna dereva mmoja pale biafra mkongwe maarufu Dullah kama sijakosea tuliwahi kutoka na coaster 12h-t uyole saa 6 mchana tukafika ubungo shell saa 3 usiku,hii kumbukumbu haitanitoka.
Okay mkuu,tena nakumbuka kwenye huo msafara kulikuwa na land cruiser ambulance iliondoka saa kumi na mbili kasoro kyela tulikuja ikuta vigwaza imepaki dereva anasema amechoka,hesabu yangu(timer) ilianzia uyole japo tulitoka kyela saa tatu na nusu,kwa kweli yule jamaa ni noma.Utingo wa coaster alimsaidia jamaa wa ambulance hadi ubungo.Yuko kanunu
Hiyo dereva wa ambulance angeambiwa apeleke gari Ngara angefia njiani kwa uchovuOkay mkuu,tena nakumbuka kwenye huo msafara kulikuwa na land cruiser ambulance iliondoka saa kumi na mbili kasoro kyela tulikuja ikuta vigwaza imepaki dereva anasema amechoka,hesabu yangu(timer) ilianzia uyole japo tulitoka kyela saa tatu na nusu,kwa kweli yule jamaa ni noma.Utingo wa coaster alimsaidia jamaa wa ambulance hadi ubungo.
Una kumbukumbu sana. Uko sahihi kabisa. Watu hawaamini basi li aweza kwenda 160 kph. Hata kama dashboard inaishia 140 mshale ulikuwa unazidi.Magari ya zamani yalikuwa ni malori modified. Lory la kubeba tani 30 libebe abiria 65, giant box high na low, diff imechezewa, bodi limebalance. Utaipenda Scania
Ni hao hao wa wakati huo. Wataka kuwahi. Wafanye shopping kesho yake wapande basi kurudi walikotoka.Nimebaki nawaza aina ya abiria aliokuwa nao humo ndani.
Hapana mabasi ya zamani mengi yalikuwa scania na scania hata lori haziwahi kuvuka speed 125km/h kwenye dashboard japo speed sidhani kama ikifika hiyo 125km/h haiongezeki.Una kumbukumbu sana. Uko sahihi kabisa. Watu hawaamini basi li aweza kwenda 160 kph. Hata kama dashboard inaishia 140 mshale ulikuwa unazidi.
Tulivyoiona gari yake tukajua imeharibika kumbe eti uchovu!Hiyo dereva wa ambulance angeambiwa apeleke gari Ngara angefia njiani kwa uchovu
duu unalijua embakassySiku hizi magari hayakimbii. Zamani Embakassy lilikuwa ni basi lisilokimbia kabisa, la kupanda wazee na wagonjwa. Likitoka Dar saa 12 asubuhi Mbeya linaingia saa 10.30 jioni sio saa nne usiku
Enzi hizo saa Saba kamili mchana Victoria ilikuwa inaamsha kutoka Mbeya kwenda Iringaduu unalijua embakassy
Nilikuwa nikitoka Mbeya Asubuhi na Skanlink derava Juma au Shaibu nafika Dar mapema nafunga mzigo K koo na kesho nageuza leo gali linalosifiwa linafika Mbeya saa moja na nusu usiku badala ya saa nane au tisaSiku hizi magari hayakimbii. Zamani Embakassy lilikuwa ni basi lisilokimbia kabisa, la kupanda wazee na wagonjwa. Likitoka Dar saa 12 asubuhi Mbeya linaingia saa 10.30 jioni sio saa nne usiku
Sio kweli alikuwa anaendesha malori ila kwa sasa yupo Iringa anafanya Kazi kwenye kampuni moja na anacheo kidogo anawapangia madereva route za safariAlifungiwa leseni ya udereva kwa mda usiojulikana.
Sio kamba kaka hata Marehemu Kaberege aliwahi kufika Uyole saa Saba akiwa na MasiaHii kamba, ila kuna dereva mmoja wa Basi la ALLYS alitoka Dar 12 akafika Mwanza 12:45 alivyofika fika tu OCs wa nyegezi stand wa wakati huo mama mmoja bonge kupindukia (afande Groly) na trafiki mmoja Yinga wakampokea na kumsweka sero.Unaambiwa watu walishuka hawaamini wapo Mwanza au Nzega
Kaberege alifariki 😥😭 sikuwa na habari.Nilikuwa nikitoka Mbeya Asubuhi na Skanlink derava Juma au Shaibu nafika Dar mapema nafunga mzigo K koo na kesho nageuza leo gali linalosifiwa linafika Mbeya saa moja na nusu usiku badala ya saa nane au tisa
Kina marehemu Kaberege/Masia wakifufuka wakisikia hii watashangaa
Zimewahi Mkuu derava wake alikuwa babu hivi anaupara alikuwa na mbwembwe nyingi (alikuwa anachomekea soksi) kwa sasa ni marehemu alikuwa na matatizo ya miguuKiswele ilikuwa ni basi ya songea dar , haikuwahi kwenda mbeya
Alikuwa Giriki Giriki alikuwa mbele na Tawaqal na Shabiby ilikuwa nyuma ikimfukuzia kwa kasi pale kwenye kona za mpakani Iringa/Ruvuma wakati huo derava wa Shabiby kona ilimshinda akaenda kuvamia gema alikukufa hapo hapo akiwa ametoa macho kwa mshangaoHuyo hakuwa giriki , ila lawama alipata yeye, , Giriki kwanza njia yake kubwa ilikuwa ni Dar Mbeya , Songea alikuwa anaenda mara chache chache
Hizi ni stress sasa....... Anyway Happy New Year.... [emoji1787]Salute kwako bujibuji huyu mwamba siwezi msahau sababu Kuna siku tuliingia saa 8, nilitaka kuacha shule.
Saa 4 ya siku inayofuata,Ntakubishia hadi asubuhi, siyo rahisi kabisa na haiwezekani
Kuna dereva wa basi la abood alitoka mwanza saa 1 asubuhi akafika morogoro saa 4 asubuh yaani alitumia masaa 4 tu. Ila alikamatwa chalinze