Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,461
- 4,138
Anaweza kua ni Msanii Mzuri,View attachment 739483 Hashim Dogo ameacha muziki lakini bado watu wanamuhitaji tofaut na wasanii wengine wengi wapo kwenye game lakini hawana attention kama yeye, nimekutan naye msasani leo ustadhi Hashim hataki tena kufanya muziki yeye kwa Sasa amekuwa ustadhi swala tano
Na wasanii wote wa hiphop afrika, halafu sina uhakika kama unauelewa hiphop ni nini hasaAnaweza kua ni Msanii Mzuri,
Ila huo ubora wa Hip hop Africa umeshindanisha na nani??
Kumbe huna uhakika,Na wasanii wote wa hiphop afrika, halafu sina uhakika kama unauelewa hiphop ni nini hasa
Hahaa!!!!!! Ndo maana nikasema wewe hujui hiphop ni nini, kwenye hiphop huwa hatuangalii msanii kuvuma ila huwa tunaangalia knowldge na mchango wake katika kuikomboa mitaaKumbe huna uhakika,
Embu niambie ukiacha wimbo wa "Shadow of the dark destiny", huyu bwana alivuma na wimbo gani tena mwengine kiasi cha kua Kingo of Hip Hop Africa??
Alikuwa mwanao????Hashim alitoa nyimbo moja tu iliyovuma...namfahamu huyu vzr tumekuwa pamoja maeneo ya Upanga alikuwa anakaa mtaa wa Lugalo kwny magorofa ya madaktari halaf akahamia Ilala
Ungejua Imam Abbas anavyomuheshimu Hashim usingeongeaAnaweza kua ni Msanii Mzuri,
Ila huo ubora wa Hip hop Africa umeshindanisha na nani??
Kwangu huyu hata Ukiimshindanisha na Imam Abbas wa Underground Souls basi Dogo anaweza kushindwa
Nitajie basi huo mchango, wewe unajua zaidi yangu kuhusu HiphopHahaa!!!!!! Ndo maana nikasema wewe hujui hiphop ni nini, kwenye hiphop huwa hatuangalii msanii kuvuma ila huwa tunaangalia knowldge na mchango wake katika kuikomboa mitaa
WanaheshimianaUngejua Imam Abbas anavyomuheshimu Hashim usingeongea
Nadhan baba yake profesa ndo alifariki madogo wakawa wanagombea urithi cjui kesi yao imeishia wapiMbona kuna uzi uliletwa huku alishakufa na R I p tukatoa vipi au kama hidaya wa pepe kale e tunatoa r I p kumbe mtu yupo hai ili swala la kuzushiana vifo siyo lizuri
Mkuu walileta uzi wake siyo wa baba yake kuuwa dogo hashimu amefarikiNadhan baba yake profesa ndo alifariki madogo wakawa wanagombea urithi cjui kesi yao imeishia wapi
Imam Abbas mwenyew anasema Hashim ni Noma kuliko yeyeWanaheshimiana
Katika misingi mitano ya Hip hop, yaani Dj, Mc, Freestyle, Breaking dance & Graphit, Huyu jamaa alikua ni mwamba katika angle zipi zaidi?Imam Abbas mwenyew anasema Hashim ni Noma kuliko yeye
Mkuu taja harakati aliyoifanya dogo mpk aheshimike kwa kiasi hicho kwa sie wa kitaa tunamuona wa kawaida aliekimbia gemu kwenda kula msosi wa home tuImam Abbas mwenyew anasema Hashim ni Noma kuliko yeye
Nash naye swala tano +uchebeHata Nash MC nae Allah akimtia ilham time yoyote anaweza kutangaza kuacha mziki. Jamaa yuko pale msikitin Tungi swala tano, na ule udevu wake wakimuffi mashallah!
Mkuu kuwa swala tano huku unawauzia watu kitimoto ni sawa na kutaka kwenda mbinguni bila kufaNash naye swala tano +uchebe
Nash MC alikua akifanya ile Hip hop Ngumu ambayo now days wanasema "haiuzi",Hata Nash MC nae Allah akimtia ilham time yoyote anaweza kutangaza kuacha mziki. Jamaa yuko pale msikitin Tungi swala tano, na ule udevu wake wakimuffi mashallah!