Huyu ndiye Hashim Dogo, Msanii bora wa Hip Hop Afrika

Huyu ndiye Hashim Dogo, Msanii bora wa Hip Hop Afrika

Duke Tachez

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2018
Posts
5,461
Reaction score
4,138
FB_IMG_1523291102401.jpeg

Hashimu Dogo ameacha muziki lakini bado watu wanamuhitaji, tofauti na wasanii wengine wengi wapo kwenye game lakini hawana attention kama yeye.

Nimekutana naye Msasani leo Ustadhi Hashim, hataki tena kufanya muziki. Yeye kwa sasa amekuwa ustadhi swala tano!
 
View attachment 739483 Hashim Dogo ameacha muziki lakini bado watu wanamuhitaji tofaut na wasanii wengine wengi wapo kwenye game lakini hawana attention kama yeye, nimekutan naye msasani leo ustadhi Hashim hataki tena kufanya muziki yeye kwa Sasa amekuwa ustadhi swala tano
Anaweza kua ni Msanii Mzuri,
Ila huo ubora wa Hip hop Africa umeshindanisha na nani??

Kwangu huyu hata Ukiimshindanisha na Imam Abbas wa Underground Souls basi Dogo anaweza kushindwa
 
Kumbe huna uhakika,
Embu niambie ukiacha wimbo wa "Shadow of the dark destiny", huyu bwana alivuma na wimbo gani tena mwengine kiasi cha kua Kingo of Hip Hop Africa??
Hahaa!!!!!! Ndo maana nikasema wewe hujui hiphop ni nini, kwenye hiphop huwa hatuangalii msanii kuvuma ila huwa tunaangalia knowldge na mchango wake katika kuikomboa mitaa
 
Hashim alitoa nyimbo moja tu iliyovuma...namfahamu huyu vzr tumekuwa pamoja maeneo ya Upanga alikuwa anakaa mtaa wa Lugalo kwny magorofa ya madaktari halaf akahamia Ilala
Alikuwa mwanao????
 
Mbona kuna uzi uliletwa huku alishakufa na R I p tukatoa vipi au kama hidaya wa pepe kale e tunatoa r I p kumbe mtu yupo hai ili swala la kuzushiana vifo siyo lizuri
 
Hahaa!!!!!! Ndo maana nikasema wewe hujui hiphop ni nini, kwenye hiphop huwa hatuangalii msanii kuvuma ila huwa tunaangalia knowldge na mchango wake katika kuikomboa mitaa
Nitajie basi huo mchango, wewe unajua zaidi yangu kuhusu Hiphop
 
Hata Nash MC nae Allah akimtia ilham time yoyote anaweza kutangaza kuacha mziki. Jamaa yuko pale msikitin Tungi swala tano, na ule udevu wake wakimuffi mashallah!
Nash naye swala tano +uchebe
 
Hata Nash MC nae Allah akimtia ilham time yoyote anaweza kutangaza kuacha mziki. Jamaa yuko pale msikitin Tungi swala tano, na ule udevu wake wakimuffi mashallah!
Nash MC alikua akifanya ile Hip hop Ngumu ambayo now days wanasema "haiuzi",
Bora aachane na Muziki atuswalishe tu Msikitini.
 
Back
Top Bottom