Huyu ndiye Hashim Dogo, Msanii bora wa Hip Hop Afrika

Duu!!!! Kitambo, bro wako Alikuwa anarap???
 
Anaweza kua ni Msanii Mzuri,
Ila huo ubora wa Hip hop Africa umeshindanisha na nani??

Kwangu huyu hata Ukiimshindanisha na Imam Abbas wa Underground Souls basi Dogo anaweza kushindwa
Nimekukubali umehoji poa sana
 
Hapana,
Alikua akipendaga tu hizi mambo, akanilazimisha hadi nami nipende sababu akiweka cassette zake ni muda wote mpaka nami nikazizoea
Bado unafuatilia hizo mambo
 
Usiseme hajui hapo unakosea mzee
Sawa nimekosea kusema hajui,ila duke wewe nakufahamu kitambo sana kweli umeona Hashim ni mwana hiphop bora Africa nzima,au ulikula vyombo kabla ya kupost hii! Mimi huwa naona Hashim ni msanii anayejijua yeye mwenyewe. Na kujijua kwake kukafanya akimbie game baada ya kuiona mbele yake mapema.
 
Hahaa!!!!!! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
nilihoji mimi huo ubora wa hashim mwaka 2013.
ni jukwaa hili hili
 
Katika misingi mitano ya Hip hop, yaani Dj, Mc, Freestyle, Breaking dance & Graphit, Huyu jamaa alikua ni mwamba katika angle zipi zaidi?
Anafiti zote 5 kuliko yoyote Africa kiasi cha wewe kumuita kua ye ni Msanii bora wa Hip hop Africa?
ID ya kike ila mwandiko wa kiume...
Shabash JF haiishi vituko...
 
Hashim is overrated..alikua mkali ndio lakin sio kwa kiasi hiki mnachompa sifa, ukiacha Shadow on the dark destiny sioni ngoma yake nyingine kali
 
Mkuu ungeongezea nyama kidogo maana Huyu jamaa nasikiaga sana wasanii wa kubwa wa hiphop bongo wakimpa heshima sana ila sijapata kumtambua vyema...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…