Huyu ndiye Hashim Dogo, Msanii bora wa Hip Hop Afrika

Heshima yako mkuu mimi mwenyewe nafurahi sana kuona mtu kama wewe upo humu na unabishana kuhusu hip hop kwa facts kabisa
 
Anaweza kua ni Msanii Mzuri,
Ila huo ubora wa Hip hop Africa umeshindanisha na nani??

Kwangu huyu hata Ukiimshindanisha na Imam Abbas wa Underground Souls basi Dogo anaweza kushindwa
Kuna sababu wanaojua kurap wanampa heshima yake dogo kabla ya imam. Heshima yako kwa kuwaacknowledge underground souls, si wengi hawakumbuka.
 
Kuna sababu wanaojua kurap wanampa heshima yake dogo kabla ya imam. Heshima yako kwa kuwaacknowledge underground souls, si wengi hawakumbuka.
Halafu huwezi amini huyo ni mwanamke lakini anawajua underground souls na Hashim
 
Heshima yako mkuu mimi mwenyewe nafurahi sana kuona mtu kama wewe upo humu na unabishana kuhusu hip hop kwa facts kabisa
Halafu huwezi amini huyo ni
mwanamke lakini anawajua underground souls
 
Kama hujafaham,
Dogo Mwana Kharam,
Kalam inamwaga damu,
Nakuacha Mweupe kama Mkorogo,
Chata ka Wagogo,
Wabongo acheni Nyodo,
Wote mnakula Hongo,
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hahaaaaa!!!!!! Nimekukubali dada angu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…