Hawa niliwapendaga na ule wimbo wao wa "Battle Field", ninao mpaka leo
Respect
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa niliwapendaga na ule wimbo wao wa "Battle Field", ninao mpaka leo
Nilikua nikimsikiliza Songa, Wakazi, labda nikitulia nitawakumbuka wengine wawili watatuWana hiphop gani unawasikiliza now
Heshima yakoNilikua nikimsikiliza Songa, Wakazi, labda nikitulia nitawakumbuka wengine wawili watatu
Ingependeza ungeshare collection yako, lady Ra hizi nyimbo hazipatikani popote na ni Hazina kubwa isipotee. Namsikia fresh g anaanza hii inapoishiaHawa niliwapendaga na ule wimbo wao wa "Battle Field", ninao mpaka leo
Kwa maana gani?
Hakuna Mc
Hakuna Dj
Hakuna wapiga machata
Hakuna wavunjaji
Au hakuna nini Afrika?
Acha kupotosha
Za hivi sina nyingi aisee,Ingependeza ungeshare collection yako, lady Ra hizi nyimbo hazipatikani popote na ni Hazina kubwa isipotee. Namsikia fresh g anaanza hii inapoishia
Aaaaa!!!!!!! Kuwa na adabu wewe Alaaaa!!!!!!
Mbona unachanganya madesa wewe, Hip Hop sio muziki kama unavyodhani weweHip Hop si muziki wa Afrika. Yaani hujaelewa tu?
Mbona unachanganya madesa wewe, Hip Hop sio muziki kama unavyodhani wewe
Endelea kutumia tu condom mzungu atakuchekaEndelea kujidhalilisha kujipa moyo kwa kung'ang'ania kitu si chako.....unachekwa hivyo na black americans.
Endelea kutumia tu condom mzungu atakucheka
Umeshawahi kusoma historia ya ukristo au uislam???? Umeshaona watanzania wamehusishwa humo?Kwa hiyo unataka nisitumie ili nijiue au? Dogo akili yako haina akili.....ulishasoma history ya Hip Hop, je uliona Bongo inahusishwa humo?
Mtu Kuwa mkali wa Hip Hop hatuangalii anajulikana na wangapiHuyu Hashim ndiyo nani? Hakuna hata wimbo wake mmoja unaonulikana...
Huyo wanampaishaga tu wavuta bangi wenzie ila hana lolote, hajawahi kufanya chochote cha maana kwenye muziki chenye impact kwenye jamii. Na watanzania hawamfahamu kabisa, labda wa kule kilingeni
Hata hiyo yako fake pia, sina hakika kama wewe ni D.GervariusKuna wengine wanawake fake identity
jina lako Screpa, kuna cha ziada..?Huyo wanampaishaga tu wavuta bangi wenzie ila hana lolote, hajawahi kufanya chochote cha maana kwenye muziki chenye impact kwenye jamii. Na watanzania hawamfahamu kabisa, labda wa kule kilingeni
Mambo vipi Lady Ra? Upo vizuri Sana kwa Old School,kama vipi share nasi collection ya old xul ulizonazo.Za hivi sina nyingi aisee,
zilipotelea na flash iliingiaga virus nikai flash