Huyu ndiye Hashim Dogo, Msanii bora wa Hip Hop Afrika

Kwa hiyo unataka nisitumie ili nijiue au? Dogo akili yako haina akili.....ulishasoma history ya Hip Hop, je uliona Bongo inahusishwa humo?
Umeshawahi kusoma historia ya ukristo au uislam???? Umeshaona watanzania wamehusishwa humo?
 
Huyo wanampaishaga tu wavuta bangi wenzie ila hana lolote, hajawahi kufanya chochote cha maana kwenye muziki chenye impact kwenye jamii. Na watanzania hawamfahamu kabisa, labda wa kule kilingeni
 
jina lako Screpa, kuna cha ziada..?
 
Za hivi sina nyingi aisee,
zilipotelea na flash iliingiaga virus nikai flash
Mambo vipi Lady Ra? Upo vizuri Sana kwa Old School,kama vipi share nasi collection ya old xul ulizonazo.
-Kama unayo Afro Reign - Saa za Kazi ft Hashim Dogo na enzi hizo za 1990-2000.
 
Back
Top Bottom