Huyu ndiye Kiongozi na Mwanadamu anayependwa, kukubalika na mwenye ushawishi zaidi kwa sasa hapa nchini

Umesema vyuo vingine vina mpango wa kumpatia PhD,waombe wale pause angalao rais wetu apate muda wa kupumzika.
 
Unatafuta ugali wako wa kila siku!😂
Wewe umesoma ila elimu yako haikusaidii chochote, ndo nyie wote fani mlizo nazo mlichaguliwa na wazazi/walezi saivi umeshindwa kuibadilisha kua pesa umeamua kuwa comedian jf😥
Ugali sitafutii hapa jukwaani
 
Ndugu Luka, punguza kidogo. Sifa zingine hazifai.
Mtu mcha Mungu anajulikana na Mungu mwenyewe tu.
Wacha Mungu utawajua kwa matendo yao kama ilivyo kwa Rais wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.Ambaye amekuwa na hofu ya Mungu kwa matendo na kauli zake.
 
Wacha Mungu utawajua kwa matendo yao kama ilivyo kwa Rais wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.Ambaye amekuwa na hofu ya Mungu kwa matendo na kauli zake.
Wewe unayajua matendo ya sirini ya daktari Samia?
 
Kazi ngumu sana hii. Usiitamani hata kidogo maana utakosana na jamii.
Hivi kwa akili zako unafikili kuna mtu anatamani kuwa kama uyu baba🤔
Na jambo la kushukuru kajikita kwenye mambo ya siasa akihamia kwenye dini atawaambukiza ujinga watanzania wengi mnoo
 
Mungu pekee ndiye mwenye hiyo mizani.
Na Mungu alishatuambia kuwa tutawajua kwa Matendo yao mema kama ilivyo kwa Rais wetu Mpendwa na kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia.Mama mwenye upendo, huruma,utu , uungwana,ukarimu na mwenye kugusa Maisha ya watanzania
 
Sasa kama anapendwa kulingana uharo wako inakuwaje mitutu ya bunduki kila kona na kuokotwa watu wametangulizwa kwa Sir.God?.Mtu anayependwa huwa anajali utawala wa sheria na uhuru wa watu kutoa maoni.Yaani,unawafunga miguu na mikono washindani wako afu unawambia mshindane kukimbia mita mia! Huo ni ukichaa.
 
Rais wetu Mpendwa amekuwa akijali na kuendesha Nchi kwa kuzingatia misingi ya kisheria na utawala bora.ndio Maana unaona hata vyama vya siasa kwa sasa vipi huru kufanya siasa kwa uhuru kabisa bila bughudha pale vinapozingatia sheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…